Tetesi: Ray C akimbizwa Muhimbili

Kwanza yeye mwenyewe akubali tatizo..watamfungia milele??
 
Mkuu hii post yako design sijaielewa hivi?
Hasa hapo mwishoni......
 
Nifah wangu mchunguzi weiyee... walikwambiaje
 
Nayakumbuka maneno yako....yanaelekea kutimia
 
Nifah WANAJISEVIA kitu gani? hembu dadavua bhana.
 
Haya mambo huwa yanazungumziwa kama jokes halafu yanafikia hatua ya No Return.

Juzi picha zililetwa humu akiwa hoi na teja mwenzake, baadhi ya watu wakasema ni za zamani. ..
Ona sasa. ...Chances za kumpoteza ni kubwa mno.
MUUJIZA utokee kwake aweze kuacha hayo madude
 
Kama zile picha zilizorushwa jana ni sahihi manake ni kua karudia tena kwa kwasi ya ajabu, so hatimae ndo yamemuangusha... Mungu ampe uzma wake..
 
Alaaniwe aliyesababisha huyu dada akaanza kutumia hayo madude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…