Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,229
- 610
Wanajamvi,
Katika wasanii ambao nilitegemea wawe karibu sana na CCM ni Ray C...siongelei kiushabiki maana ni ukweli ulio wazi Ray C amesaidiwa sana na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kiasi kwamba isingekuwa yeye Ray C angekuwa habari nyingine.
Lakini shida sasa nathibitisha kwamba amerudi kwenye Madawa ya Kulevya, inauma sana jamani...huo ndio ukweli na baadhi ya manesi wameshalitambua hilo.
Wanaoenda kuchukua dawa naye wanalitambua hilo!! Ray C pamoja na kipaji alichonacho angekuwa msaada mkubwa Kwa jamii hasa kwa walioathirika na janga la madawa ya kulevya lkn pia Kwa wanaotumia madawa hayo.
Tafadhali naomba asaidiwe upya huyu mpendwa wetu.