Ray C ametumbukia upya kwenye janga la matumizi ya dawa za kulevya

Ray C ametumbukia upya kwenye janga la matumizi ya dawa za kulevya

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,229
Reaction score
610
Wanajamvi,

Katika wasanii ambao nilitegemea wawe karibu sana na CCM ni Ray C...siongelei kiushabiki maana ni ukweli ulio wazi Ray C amesaidiwa sana na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kiasi kwamba isingekuwa yeye Ray C angekuwa habari nyingine.

Lakini shida sasa nathibitisha kwamba amerudi kwenye Madawa ya Kulevya, inauma sana jamani...huo ndio ukweli na baadhi ya manesi wameshalitambua hilo.

Wanaoenda kuchukua dawa naye wanalitambua hilo!! Ray C pamoja na kipaji alichonacho angekuwa msaada mkubwa Kwa jamii hasa kwa walioathirika na janga la madawa ya kulevya lkn pia Kwa wanaotumia madawa hayo.

Tafadhali naomba asaidiwe upya huyu mpendwa wetu.
 
Huwa kuna wafuatiliaji waathirika kujua maendeleo yao.. Kama kuna mwana jamvi anamjua amshutue ili hatua saidizi zichukuliwe.. Asante mleta mada kama ni kweli!
 
Amepatwa na kitu kinaitwa relapse na huwa inatokea sana kwa addicts! Atakuwa okey kama wanaomsaidia wameshagundua hlo.

Kuna lodge flan mwananyamala inaitwa kifaru hua anachukua chumba na kujidunga na kupumzika hapo
 
Kuna lodge flan mwananyamala inaitwa kifaru hua anachukua chumba na kujidunga na kupumzika hapo

Una ushaidi aiseeh uisaidie police ngoja tukutafute uisaidie mamlaka
 
Hizi huduma na utaratibu mbovu wa kupata methadone nao utakuwa umechangia yeye kurudia zama zake yaani mpaka ugangamale ndo uzipate pengine kwa masimango kibao.

Yaani upatikanaji wa bunduki ni rahisi kuliko bullet proof.

Basi asubirie kifo ndo kitamtenganisha na hayo madude halafu hao vijana anaojidai kuwasaidia si ni balaa tupu.

"Mchungaji mwenye majini anawaombea waumini wenye majini."
 
Madawa ni tatizo kubwa inafaa asaidiwe nina Mtoto katumbukia kwenye hiyo kitu, alikua anasoma Mlimani mwaka wa 3 sheria akatumbukia huko dadake ni Hakimu lakini tumeshindwa hili ni Janga tusaidiane
 
Mmmmmhh hii kali, asaidiweje huyu mtu? Siku zote kuna msemo usemao bila kuamua huwezi acha mwacheni akiamua ataacha.
 
Hivi ukibwia unga wa kutosha unaweza kuacha kweli.
 
Deception haya madawa ya methadon hayana madhara kweli kwa binadamu? kama ilivyo ARVs? embu toa elimu kidogo juu ya hili
 
Last edited by a moderator:
Kurudia haya madawa ni rahisi sana, ndo maana watu wanaambiwa wasiache kwa miaka miwili tu na kujitangaza wamepona. Ni process ndefu. Halafu sasa mtu akiwa addict anahitaji sana therapy, ndo maana unawaona wengi wanaongea sana
 
Kusema kwa maneno matupu kuwa amerudi kwenye madawa haitoshi tuna hitaji ushahidi! Kama unge niambia dish limedondoka kabisa na ana okota makopo ninge kuelewa haraka maana ni kweli amechanganyikiwa!
 
Deception haya madawa ya methadon hayana madhara kweli kwa binadamu? kama ilivyo ARVs? embu toa elimu kidogo juu ya hili

Methadone zina madhara mengi sana kama zilivyo dawa nyingine za kulevya.Pia side effects zake nyingi zinafanana na zile za ARVs.Lakini methadone sio 'lifelong medicine' kama zilivyo ARVs au dawa nyingine za kulevya,hivyo si tatizo sana.

Pia ARVs nyingi zina side effects kama dawa nyingine za kulevya ikiwemo ile ya kusababisha addiction kwa wale wanaozitumia.Hii ni kwa sababu ndani ya hizo ARVs kuna component inayofanyakazi kama dawa za kulevya au methadone.

Ndio maana kuna baadhi ya maeneo watu huzisaga ARVs na kuzitumia/kuvuta kama wanavyofanya kwenye dawa nyingine za kulevya,ARVs hizi huwapa watumiaji hao utamu uleule kama wanaoupata kwenye cocaine au heroin. Na hii ndio sababu mojawapo inayosababisha watu wanaoacha ARVs ghafla kudhurika na pengine kufa.
 
Hivi viroja vyote anavyofanya huvioni??????

Dishi pale kwishnehi

Kusema kwa maneno matupu kuwa amerudi kwenye madawa haitoshi tuna hitaji ushahidi!

Kama unge niambia dish limedondoka kabisa na ana okota makopo ninge kuelewa haraka maana ni kweli amechanganyikiwa!
 
Hivi viroja vyote anavyofanya huvioni?????? Dishi pale kwishnehi

Nilikuwa najaribu kumuonesha ana changanya kati ya kuyumba kwa dish na kurudi kwenye madawa! Rayc ni mental case.. Duu !juz i hapa tulisema dish tayari nafikiri hapa watu wanachanganya kati ya kurudi kwenye madawa na kuchanganyikiwa!

Huyu mtu kachanganyikiwa kwa hiyo hali ina wafanya watu wadhani karudi kule kumbe dish ndio chali! Aisee juzi tumejadili leo watu ndio wanastuka....!
 
Methadone zina madhara mengi sana kama zilivyo dawa nyingine za kulevya.Pia side effects zake nyingi zinafanana na zile za ARVs.Lakini methadone sio 'lifelong medicine' kama zilivyo ARVs au dawa nyingine za kulevya,hivyo si tatizo sana.

Pia ARVs nyingi zina side effects kama dawa nyingine za kulevya ikiwemo ile ya kusababisha addiction kwa wale wanaozitumia.Hii ni kwa sababu ndani ya hizo ARVs kuna component inayofanyakazi kama dawa za kulevya au methadone.

Ndio maana kuna baadhi ya maeneo watu huzisaga ARVs na kuzitumia/kuvuta kama wanavyofanya kwenye dawa nyingine za kulevya,ARVs hizi huwapa watumiaji hao utamu uleule kama wanaoupata kwenye cocaine au heroin. Na hii ndio sababu mojawapo inayosababisha watu wanaoacha ARVs ghafla kudhurika na pengine kufa.

Mkuu kuna vijana kama wawili hivi hua kila siku wakitoka mwananyamala hospital wakipita hapa kinondoni mitaa ya garden huwa wanakua wamelewa (wanabembea) watu wakaniambia wanatoka hospitali m/nyamala kupata methadone, sasa nikawa nashangaa wanatokaje kupata dawa huku wanakua wamelewa?

Nikawa najiuliza au wanakunywa methadone then wanapitia maskani kuzimua? Ikabidi siku moja nimsimamishe mmoja akiwa na hali hiyohiyo na nilipomuuliza "mwana vipi cha leo kikali!???" Akanijibu kwamba ni methadone ndio inamfanya abembee... mpaka sasa nashindwa kuelewa mechanism ya hii dose ya methadone... ufafanuzi zaidi please!!!
 
Back
Top Bottom