EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
naungana na wewe kwamba ingebaki kati yao tu ingemuongezea heshima sana kuliko kuwa hivi ilivyo.
Only kama alimfadhili kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Lakini kama alimfadhili kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunayo haki ya kujua, regardless of whether it was a right or wrong thing to do.
Tuna haki ya kujua mabaya na mazuri anayofanya Rais, lakini siyo kama Kikwete personally.