Hatimaye baada ya Ray C kuteseka kwa muda mrefu bila kupata mtu wa kumfadhali hela ya matibabu hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajitosa kumfadhali. Akiongea katika viwanja vya Ikulu Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa moyo aliouonyesha wa kumsaidia matibabu na sasa hivi anaendelea vizuri.
SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?
AIDHA; Nampongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa kumuokoa Mtanzania huyu " RAY C" maana angepotea na talent yake ya uimbaji.
Mimi Nina nyumba Europe, Kama anataka matibabu zaidi aishi kwangu, Pia nawezakumsaidia hela ya dawa, akitaka nawezakumsaidia mambomengi na ya usanii zaidi.
Nadhani rais anatakiwa kupewa sifa kwa hili japokuwa najua Ray C kachukuliwa kisiasa zaidi.
JK huyo huyo alimtosa "jela mtagwa" alipooba amsaidie
Watanzania akili zao zinanichekesha sana ...Kikwete katoa kama msaada personal....swali la kujiuliza wewe umewahi saidia wangapi??? Hiyo pesa aliyotoa Kikwete ni kubwa sana mpaka wewe ikushinde kutoa??? Give credit where it is due......
mkuu, na mimi ndo swali nimebakia nalo. Kumsaidia ray c sawa kafanya vizuri, je mateja wengine wao hawahitaji msaada wake pia. Kwa nini basi asifungue centre ya kuwsaidia hawa waadhirika ikiwa ni pamoja na kuzuia na kuwachukulia hatua wote wanaoingiza hayo madawa?
ITV leo Desemba kumi saa mbili usikuSource plz...
Ray C nae! Angekuwa na akili angemuambia
"Nashukuru sana kwa msaada wako baba riz one, ila naomba uwataje kama ulivyo ahidi kuwa unawajua wauza madawa ya kulevya na kuwashughulikia ili wale wenzangu ambao nao wameathirika watambue juhudi zako, lakini pia nao uwape msaada kama mimi"
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Watu bana wewe ulitaka rais amwage machozi.
Hatimaye baada ya Ray C kuteseka kwa muda mrefu bila kupata mtu wa kumfadhali hela ya matibabu hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajitosa kumfadhali. Akiongea katika viwanja vya Ikulu Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa moyo aliouonyesha wa kumsaidia matibabu na sasa hivi anaendelea vizuri.
SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?
AIDHA; Nampongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa kumuokoa Mtanzania huyu " RAY C" maana angepotea na talent yake ya uimbaji.
Mkuu usiseme hivyo ... inawezekana kabisa mateja kutibiwa na kurudi kwenye maisha ya kawaida.ONCE a junkie,always a junkie no matter what eg Withney Houston