Jamani huyu ni Ray C kweli??machoni ni kama yeye lakini sura kama vile sio yeye as if ni kibibi flan toka korea kaskazini. Kweli unga noumer.
kuwasaidia niliowasaidia ni pamoja na kutokusema kama nimewasaidia maana hainisaidii mimi wala huyo niliyemsaidia!
kama ameitoa personal kwanini ikulu itumike!kwanini vyombo vya habri vya kitaifa vitumike?kama watanzania unaowaaminisha hapa ni wenye akili za aina yako basi ni kweli zinachekesha sana!
sina tatizo na ray c kama mwathirika wa madawa ya kulevya!
anayenishangaza ni huyo anayetaka kutumia madhara makubwa kabisa wanayopata vijana kujitangaza!
hili ndilo tatizo langu!kama wewe bado hujaliona inategemea una uwanda upi wa kufikiri kwa kiwango chako cha hali ya juu kabisa!
NA WALE WENGINE WANAOJAZANA VITUO VYA MAGARI WATIBIWE NA NANI!
HUU UMAARUFU BEI RAHISI HUU!UNAZIDI KUKUCHAFUA KULIKO KUKUJENGA !
wasio na majina wanatibiwa nani?
Kikwete anapajua kwani ndiye aliyempeleka Ray C kutibiwa, fanya juu chini uanane na Kikwete maana atakuelekeza na ikiwezekana atakughalimiaWanajamii, kuna anayejua uwepo wa rehabilitation/counceling centre Dar kwa watumiaji wa madawa ya kulevya. Mwenye kujua naomba details nimpeleke kijana aliyezidiwa na bangi. Thanks kwa taarifa
...........unamaana gani????? uwa si kawaida yako kutoa povu..
yani ni zaidi ya kujitafsiri ni mtu wa aina gani!huyu jamaa hana washauri?
hajui lipi la kulipa kipaumbele na hajui lipi la kuacha!
NA HILI LA RAY C NALO ILIMPASA KUJITANGAZA NAMNA HII?
SO SO SO CHEAP for a state house jamani!we need a break !
mamilioni ya vijana ni wahanga?hawa wanasaidiwa na nani?sijakataa kuwa kafanya jambo jema lakini ujem wa kitu upo katika dhamira!hebu tufungue mioyo yetu kidogo rais amefanya jambo jema.tujiulize sisi tumewaokoa wangapi wanaoangamia?
Betty Chalamila-Mkwasa.
Mkubwa,Mkuu usiseme hivyo ... inawezekana kabisa mateja kutibiwa na kurudi kwenye maisha ya kawaida.
Hivi kila kitu ni siasa? Kila kitu ni CCM againstg CDM? ....
Dude get a life!!
wala si uongo hii huwa si kawaida yangu lakini katika hili!HAPANA!
wangapi data wanateseka na kufa kutokana na haya madawa?mheshimiwa hapa kachemka sana!
wasio na mama wadogo wakuu wa wilaya wakimbilie wapi?
nani anatetea wasio na sauti!
kulikuwa na sababu gani ikulu kutumika katika hili?
nani mwingine ana hiyo access ya kutibiwa na rais?
lilikuwa baya lipi angemsaidia kama yeye!sio kama taasisi?
tunakimbilia kutoa masuluhisho mepesi kwa matatizo makubwa!
samahani kwa wenye jukwaa lao la maceleb lakini tunapaswa KUSTUKA!
HII THAMANI YA WASANII INAONEKANA WAKIFA NA WAKIUMWA TUU!?ah ngoja niishie hapa
sema wewe PakaJimmyMkubwa,
Hii ni 100% politics, tena ccm politics.
Haiwezekani state house, with all its metal hands, kutoka kupiga pichA YA KUTOA TIBA KWA MWANANCHI MMOJA, wakati maelfu ya wagonjwa wengine wanakufa jirani na ikulu pale kwa kukosa dawa-mseto!
After all Ray C sio less privileged, ana nduguze wenye uwezo wajuu ambao Ikulu hiyohiyo imewawezesha!...this is just like draining a pond down to the sea!
All ican say ni kwamba rais huenda yuko likizo, na hakuwa na jambo la msingi la kufanya ndani ya siku ya leo!.. halafu alichokosea ni kwamba katika tukio la masikitiko vile alikuwa anatabasmu too much, hii inaonyesha kuwa nia yake ilikuwa ni photogenity zaidi ya tukio!
Betty Chalamila-Mkwasa.
wasamehe tu.......... mchawi si lazima akeshe usiku... wengine ndo hawa wanao mbeza rais..watu kwa kulalamika,si haba huyo mmoja kamsaidia.na analea mtoto mmoja ambae ni yatima.hata kama mtu una mabaya yako,lipo japo dogo zuri ambalo umelifanya.hongera yake kwa hilo
You must be barking at a wrong tree,sasa hapo siasa iko wapi?Mkuu usiseme hivyo ... inawezekana kabisa mateja kutibiwa na kurudi kwenye maisha ya kawaida.
Hivi kila kitu ni siasa? Kila kitu ni CCM againstg CDM? ....
Dude get a life!!