mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
Hahahahah! Kwaio unataka kusema MKUU wa Kaya Kawekeza sio???!mchizi atakuwa anajipigia, hajafanya kwa roho safi.
Ni wajibu wake kama Rais wa nchi kupambana na madawa ya kulevya. Sio kusaidia mtu mmoja tu na kupiga nae pichaJK hawezi kusaidia mateja wote wa nchi hii chamsingi wadau wengine wajitokeze. Watu wanatoa pesa nyingi ku spons vitu vya ajabu ajabu mbona hamsemi?
Mkubwa,
Hii ni 100% politics, tena ccm politics.
Haiwezekani state house, with all its metal hands, kutoka kupiga pichA YA KUTOA TIBA KWA MWANANCHI MMOJA, wakati maelfu ya wagonjwa wengine wanakufa jirani na ikulu pale kwa kukosa dawa-mseto!
After all Ray C sio less privileged, ana nduguze wenye uwezo wajuu ambao Ikulu hiyohiyo imewawezesha!...this is just like draining a pond down to the sea!
All ican say ni kwamba rais huenda yuko likizo, na hakuwa na jambo la msingi la kufanya ndani ya siku ya leo!.. halafu alichokosea ni kwamba katika tukio la masikitiko vile alikuwa anatabasmu too much, hii inaonyesha kuwa nia yake ilikuwa ni photogenity zaidi ya tukio!
Nafananisha hili na mtu anayelia kuliko wafiwa!
Betty Chalamila-Mkwasa.
MKUU WA WILAYA NA MAMA MDOGO WA RAY C.
Jaribu wewe kabwela usiye na ndugu kiongozi uone m
Umezeeka kupitiliza mbuzi..sasa hapa ndiyo umeeleza nini?yani ni kama vile tulikuwa tunaangalia tv wote halafu unatukumbushia tu hapa..
****** amekosa kazi.
jamani u cdm na ccm ukae mbali, kikwete has done a right thing, mlitaka dada yetu afe? kha sometimes tunamuonea sana huyu presidaa
Nakuunga mkono madameX tena huyo kaponzwa na starehe zake na kila siku tunaona wamama wanaomba msaada kwenye vyombo vya habari watoto wao wanamatatizo makubwa.Mmh hii siyo ya dhamani lakini. Na kwanini afanye upendeleo kwahuyu wanaohitaji msaada wengi.