Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Huo ni mkorogo kabisa, weupe wake feki, kaona aibu kusema kweli akaamua kunena hayo ili kuepuka aibu, ni sawa na Yule wa mimba feki sasa anasema imetoka....bongo bhana! Kuna raha zake wee-wee...
 
Umepita mitandaoni huko hivi karibuni? Huyu ana kidumu, tank, ndoo, jaba wooote wanakunywa majiii, eti kisa Ray Kigosi kasema yeye hajichubui ila anafanya sana mazoezi na kunywa MAJI MENGI, hivyo watu wanakunywa maji ili wawe weupe kama yeye, aiseeeeee nadhan hata yeye atakuwa anacheka akiangalia baadhi ya picha
 
Yeu Wiki auwiiii yelewiiii, uwiii uwiiii auwiii, kelewiiii
 

Na huyu nae mpeni somo hilo ili anywe maji galoni ngapi[emoji12] [emoji12]
 
Ray ni mwanalizombe au ni mjukuu wa kinjekitile?Team majimaji ua Songea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…