Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki auwiiii yelewiiii, uwiii uwiiii auwiii, kelewiiiiUmepita mitandaoni huko hivi karibuni? Huyu ana kidumu, tank, ndoo, jaba wooote wanakunywa majiii, eti kisa Ray Kigosi kasema yeye hajichubui ila anafanya sana mazoezi na kunywa MAJI MENGI, hivyo watu wanakunywa maji ili wawe weupe kama yeye, aiseeeeee nadhan hata yeye atakuwa anacheka akiangalia baadhi ya picha
Yeu
Wiki auwiiii yelewiiii, uwiii uwiiii auwiii, kelewiiii
Tulia kijanambona umepanik
...tiba kwanza bibie,acha maswali kwa sasa!..ukipona utawauliza mwenyewe inshaallah!VIP dadazako hujawatembelea mavini?
mbarikie kijana mwenzakoTu
Tulia kijana
...mashaallah!..neno la hek'ma sana hili!mbarikie kijana mwenzako
wewe unaongea kama nani hapa JF, bhen chori!JF siku hz kumevamiwa na watu wasiojielwa kabisa, yan uzi umeanzishwa kwa dhumun flan watu wanaleta mambo mengine tena yakijinga. JITAMBUEN
Cha kazi gani?Maxence Melo Madame B fanyeni mpango mtuwekee kitufe cha dislike, dole chini
Umepita mitandaoni huko hivi karibuni? Huyu ana kidumu, tank, ndoo, jaba wooote wanakunywa majiii, eti kisa Ray Kigosi kasema yeye hajichubui ila anafanya sana mazoezi na kunywa MAJI MENGI, hivyo watu wanakunywa maji ili wawe weupe kama yeye, aiseeeeee nadhan hata yeye atakuwa anacheka akiangalia baadhi ya picha
....naaaam!hili ndo neno sasa!..nielekeze ulipo nikuwahishie ambulance fasta bibie!Njoo sasa Na kibamia chako hicho