Ha Ha Ha Ha jamani watu ni hatari!Hapa baada ya kusikia hiyo taarifa nimewapigia sim Kisima waniletee kontena la maji na nimetoa oda nyingine walete semi wiki ijayo maana haya ya leo hayatamaliza wiki.
Nataka kua zeruzeru kwa kunywa maji, kwa siku napiga lita 40 za maji, sitaki mchezo kabisa, ikishindikana nahamia baharini ili kwa wiki tatu zijazo niwe zeruzeru kabisa.
Kumbe kenge na mamba ni ujinga wao tu!
Wanaume Tunahesabika Siku Hizi
Ndio huyo huyo ndugu ana badilika kama kinyonga.Samahani rey ni yupi yule aliyekuwa na mainda au aliye na hansi chuchu mwenye jibu plz
NEY.akishusha song ataanza kuandamwa maana unaweza kua mwanume kwa nje ila tabia zako zinainyesha ke.endeleza hapoWanawake wengi wenye kuelewa wanawapenda wanaume halisi, hawawapendi wanaume artificial!
Chuki sio nzuri lakini uko sahihi dada.
wacha uwongo mbona MUGABE yuko black zaidi.Mimi nina mawazo tofauti kidogo. Hivi kama background yako ilikuwa kushinda na kutembea juani,then mambo yanabadilika unaanza kutembea na kukaa kwenye gari,ofisi,nyumba full AC unafikiri utakuwa na rangi ile ile ya kupigwa na jua??? Hamjaona watu wakitoka bongo na kwenda mtoni wakirudi wanakuwaje?
Mimi binafsi nikiangalia picha zangu wakati niko mtoni na sasa hivi ni tofauti kabisa, nimekuwa mweusi pamoja na kwamba sitembei hovyo juani ila mazingira tu ya kibongobongo vumbi kibao unajikuta rangi inafifia.
My point,unaweza kuonekana mweusi ila ukiwa expsosed na mazingira fulani ngozi inang'aa bila kujichubua ni kawaida, hata nyinyi mnaopinga wengine tukiona picha zenu wakati mko vijijini sio kama mnavyong'aa leo.
Hanywi maji mengiwacha uwongo mbona MUGABE yuko black zaidi.
Euwiiii yelewiii auwiii kelewiii,punguza kupumuliwa. Jombaawewe nawe ni jipu, kazi kucoment ungese kwenye post za watu
Huyu ameze mto kabisa
Na huyu nae mpeni somo hilo ili anywe maji galoni ngapi[emoji12] [emoji12]
cha kudislikeCha kazi gani?
Nimebaki nashangaa tu mkuuJF siku hz kumevamiwa na watu wasiojielwa kabisa, yan uzi umeanzishwa kwa dhumun flan watu wanaleta mambo mengine tena yakijinga. JITAMBUEN
umenza tena?Yeu
Wiki auwiiii yelewiiii, uwiii uwiiii auwiii, kelewiiii