Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Hapa baada ya kusikia hiyo taarifa nimewapigia sim Kisima waniletee kontena la maji na nimetoa oda nyingine walete semi wiki ijayo maana haya ya leo hayatamaliza wiki.

Nataka kua zeruzeru kwa kunywa maji, kwa siku napiga lita 40 za maji, sitaki mchezo kabisa, ikishindikana nahamia baharini ili kwa wiki tatu zijazo niwe zeruzeru kabisa.
Ha Ha Ha Ha jamani watu ni hatari!
 
Wanawake wengi wenye kuelewa wanawapenda wanaume halisi, hawawapendi wanaume artificial!
Chuki sio nzuri lakini uko sahihi dada.
NEY.akishusha song ataanza kuandamwa maana unaweza kua mwanume kwa nje ila tabia zako zinainyesha ke.endeleza hapo
 
Mimi nina mawazo tofauti kidogo. Hivi kama background yako ilikuwa kushinda na kutembea juani,then mambo yanabadilika unaanza kutembea na kukaa kwenye gari,ofisi,nyumba full AC unafikiri utakuwa na rangi ile ile ya kupigwa na jua??? Hamjaona watu wakitoka bongo na kwenda mtoni wakirudi wanakuwaje?

Mimi binafsi nikiangalia picha zangu wakati niko mtoni na sasa hivi ni tofauti kabisa, nimekuwa mweusi pamoja na kwamba sitembei hovyo juani ila mazingira tu ya kibongobongo vumbi kibao unajikuta rangi inafifia.

My point,unaweza kuonekana mweusi ila ukiwa expsosed na mazingira fulani ngozi inang'aa bila kujichubua ni kawaida, hata nyinyi mnaopinga wengine tukiona picha zenu wakati mko vijijini sio kama mnavyong'aa leo.
wacha uwongo mbona MUGABE yuko black zaidi.
 
1455949944739.jpg
 
Hata kuku wangu wa kienyeji bandani nimewaekea BONGE LA SIMTANK naanini after a month watageuka wa kizungu
 
Ukiwa kichwani mtu utapata shida sana kama baadhi ya watu wa bongo movies
 
Back
Top Bottom