Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

wacha uwongo mbona MUGABE yuko black zaidi.
sasa uongo ni upi? kuwa huwezi kuwa na ngozi inayong'aa kwasababu ya mazingira? nilivyojisemea mimi ni uongo? au nini hasa uongo wangu?
 
🙂🙂🙂
 
Hadi thread imepoteza kabisa lengo lililokusudiwa na mtoa mada sababu ya matusi ambayo ni nje ya mada kabisa....hata haina tena mvuto wa kuchangia bora ifutwe tu sasa
 
raythewater
 

Attachments

  • CYMERA_20160220_132453.jpg
    86.4 KB · Views: 57
Ni maji ya aina gani hayo nianze kuyatumia?! au ni yale ya 250,000 kila mwezi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…