Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

Hivi ni yake au amepangishiwa na mondii ngoja nisubili povu
 
Acha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
 
Dogo anazingua!! Hiyo Nyumba na gari labda viwe vya Diamond!!

Harmonize mwenye tunaishi nae huku kunduchi kwenye nyumba ya Diamond na ile gari alishanyanganywa..anapalamia bajaji kila siku.
 

Wewe Nyumba yako iko wapi???
 
Watu tuna masters lakin bado tupo kwenye nyumba za kupanga kweli the world is not fair kabisa ntakata rufaa kwa sir God

Pole mkuu, Bongo tunachukulia elimu kama sehemu ya kukutoa lkn wanafalsafa wanaamini kwenye elimu tunatafuta "furaha" (Happiness ) na sio "raha" (pleasure ).
Ambao hawakusoma sana ndio wanaomiliki mali na wanapata raha pia, ingawa si ajabu ukiwaona kesho 'Raha ikiwa imegeuka karaha'
Si rahisi Happiness kuwa sadness hasa kama ulisoma ukijua maana ya elimu.
 
Utofauti ni kwamba hawa wakina raymond wamekuta kila kitu kipo wanarecord bure, video bure na promotion wanafanya lebal
Tofauti na daimond kila kitu alikuwa anafanya mwenyewe kwa pesa zake hata savings lazima itakuwa ndogo
Hapo kweli!
 
diamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..

ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh
Kama ulaya vile
 
Mziki sikuhizi unatumika kutakatisha pesa za dawa za kulevya,,,hawa wcb wamulikwe aise sio bure.
 
Mke mdogo wa mond kasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…