Hivi haujapigwa ban tuVIVA RAYMOND WA WCB. NAKUPENDA BUREEEEE AMAN NI KWELI ETI HATA SIKU YA UZINDUZI WA KUHAMIA NDANI NISHAALIKWA ILA TAREHE NA MWEZI NI SIRI YANGU SIUNAJUA TENA MIMI SIKOSAGIIIIIIIII
NIMEWAONJESHA KAUBUYU HAKOOOO
Waongo hao jamaa hivi kama ana nyumba zote hizo angetimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi ya wcb studio haha maisha ya insta haya anapost chips anakula makandeAcha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
Acha uongo na wewe ametimuliwa wasafi studio wapi? Wakati hadi leo inafanya kazi na leo kulikuwa na wageni paleWaongo hao jamaa hivi kama ana nyumba zote hizo angetimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi ya wcb studio haha maisha ya insta haya anapost chips anakula makande
Elimu ndio njia pekee ya kumfanya mtu awe na maisha mazuri mpaka kufa kwake sio hizi pesa za msimu za kina domo kina ferooz mr nice walikuwa na pesa sana kipindi hicho na ray c mi naamini pesa za sanaa hazina mwisho mwema ni za msmu tu zilePole mkuu, Bongo tunachukulia elimu kama sehemu ya kukutoa lkn wanafalsafa wanaamini kwenye elimu tunatafuta "furaha" (Happiness ) na sio "raha" (pleasure ).
Ambao hawakusoma sana ndio wanaomiliki mali na wanapata raha pia, ingawa si ajabu ukiwaona kesho 'Raha ikiwa imegeuka karaha'
Si rahisi Happiness kuwa sadness hasa kama ulisoma ukijua maana ya elimu.
Nyumba anazo mbili tu sio watulishe matango pori yao tunamuona kitaa kwenye nyumba za kupangaWaongo hao jamaa hivi kama ana nyumba zote hizo angetimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi ya wcb studio haha maisha ya insta haya anapost chips anakula makande
Ile gari kashapokonywaDogo anazingua!! Hiyo Nyumba na gari labda viwe vya Diamond!!
Harmonize mwenye tunaishi nae huku kunduchi kwenye nyumba ya Diamond na ile gari alishanyanganywa..anapalamia bajaji kila siku.
Studio za wcb zilipo sasa kabla ya pale walitumuliwa kwa kodi kupanda ndo akahamia kule vichochoroni kwa kutaka nafuuAcha uongo na wewe ametimuliwa wasafi studio wapi? Wakati hadi leo inafanya kazi na leo kulikuwa na wageni pale
Haloo wew ebu acha kujichetuaVIVA RAYMOND WA WCB. NAKUPENDA BUREEEEE AMAN NI KWELI ETI HATA SIKU YA UZINDUZI WA KUHAMIA NDANI NISHAALIKWA ILA TAREHE NA MWEZI NI SIRI YANGU SIUNAJUA TENA MIMI SIKOSAGIIIIIIIII
NIMEWAONJESHA KAUBUYU HAKOOOO
Mtajua wenyewe niwe mke mdogo au vp mm naongea ninachokiona mtaan studio yake kakodisha nyumba nzima watu wanaongea ongea tu ana majumba mengi sinza! angekua na nyumba sinza angekodisha nyumba kwa ajili ya studio na makazi ya dancers wakeMke mdogo wa mond kasema
Kesho ntakutumia...Mkuu vip hauna namba ya haka katoto karay, nakapendaje
Mkuu unataka ukakashilole?Mkuu vip hauna namba ya haka katoto karay, nakapendaje
Nenda mwana nyamala sokoni Pele mondi kanunua nyumba 2 huo wivu sijui utakuisha liniAcha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
Nimempa mama yakoWewe Nyumba yako iko wapi???
Nenda mwana nyamala sokoni Pele mondi kanunua nyumba 2 huo wivu sijui utakuisha lini
Hizi team kiba zinatatizo
diamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..
ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh
mbona diamond anaonyesha nyumba nyingi tu zaidi ya madale? Au anatupiga kamba?Acha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
kwa mawazo haya utabaki kua maskini milele...Kwa show za Fiesta? Nitakuwa wa mwisho kuamini hili, labda kama anamradi ule mwingine
Mtajua wenyewe niwe mke mdogo au vp mm naongea ninachokiona mtaan studio yake kakodisha nyumba nzima watu wanaongea ongea tu ana majumba mengi sinza! angekua na nyumba sinza angekodisha nyumba kwa ajili ya studio na makazi ya dancers wake
Ila kwake kuna maana nyingi hata ukipanga ni kwako BTW siku hizi kuna nyumba zinauzwa kwa mkopo
Vyovyote iwavyo anafaa kupongezwa si kazi rahisi hiyo