Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

Rayvanny aanguka na kuvunjika mkono stejini

Uchawi wake ulikua mdogo dhidi ya wenzake watakuja kufia majukwaani hawa, washaurini wapunguze uchawi
Nachokukubali habari za WCB unazifuatilia,ila usisahau kutupostia ujio wa Cheed na Killy kutoka Konde Gang kama ulivyo kuwa unawafanyia wakiwa King Music.

🤣🤣
 
Pole sana Vanny boy....the most talented artist in the game right now!
 
Hili LA kuvunjika mkono n Chai na haina skari kabsa
izo za kuvunjika bado wanafanya siri ila kavunjila ndo maana hata leo hakuna after party pale kidimbwi
 
Tatizo wale jamaa wamejaa misifa mingi,kwa video inayozunguka kuanguka kwa ray kulisababisha na wao kujazana jukwaan bila sababu za msingi, halafu kama kuna jamaa alimsukuma. Baba levo na wengineo walikua wanafanya nini pale? Au ndo yale ya kujaza makelele ili mashabiki waone kuna mzuka kumbe wanaibiwa tu
 
kavunjika mikono miwili iyo itakuwa ajari sio kuanguka kwa kawaida tena toka jukwaani
 
kavunjika mikono miwili iyo itakuwa ajari sio kuanguka kwa kawaida tena toka jukwaani
kuna nyimbo yake ile kaimba na diamond inaitwa Nyegezi wakincheza huwa wanaruka juu na kutimua vumbi
 
Back
Top Bottom