Rayvanny amjibu Harmonize kuhusu BET

Watu mnatukanana kisa hao wapuuzi?
 
Acha unafiki tambua ni tuzo kubwa hiyo atakama unaidadavua kihivyo but kuipata tu ni shughuli so mnyonge mnyongeni but haki yake mpeni bigup rayvann coz hakunaga east africa aliyeipata
 
Acha unafiki tambua ni tuzo kubwa hiyo atakama unaidadavua kihivyo but kuipata tu ni shughuli so mnyonge mnyongeni but haki yake mpeni bigup rayvann coz hakunaga east africa aliyeipata
Choko kama choko
 
Hebu waeleze, kuna tuzo zingine zinahypiwa ila hazina mvuto kule kwao, ata ikionyeshwa kwa live show labda show ikiwa inakaribia kukamilika. BET award ya kibabe ni ile unashindana na miamba mingine! 🤣 🤣 🤣 Rayvanny, Harmonize and Diamond wanafanya kazi nzuri, and that comes from someone who rarely listens to them, lakini kuna tuzo zingine ukipata au hata uwe nominated, bora usipayuke payuke sana, kiasi tu inatosha. Sababu kuna mjomba Wizkid ana mpaka siku maalum yake ndani ya Minnesota, US, sijui ka ilipitishwa bunge ila Governor wa jimbo hilo alitia tiki, na bado humuoni akijamba Jamba kila wakati kuhusu hilo, that's how pros roll! 🤣
 
Unapenda sana kuliwa tako
 
tuzo gani za zambia mkuu 🤣 🤣 🤣
 
Hyo Tuzo unayoiona ya kawaida kumbuka Hakuna msanii wa mwingine TZ ashawai ipokea, hvyo inabaki kwenye vitabu vya historia latika sanaa ya Bongo fleva
 
BET viewers choice Africa awards = Fanta awards... 😂 😂 😂 😂
Cheki hii kima, et WizKid ana sku yake Minnesota ..what a shit , utazani anakujua ... Anyway kama unamuingiza WizKid kama reference ya kumu-outclass Rayvanny , basi vannyboy n mtu mkubwa Sana .....
Ila jarbu kumtetea hata Marioo au harmonize utaonekana wa maana kuliko kukimbilia kujibanza Nigeria ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…