Rayvanny angalia usidumbukie aliponasa Harmonize. Jifunze kukaa mbali na fungu la kukosa

Sasa huyu kidampaa utamuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hajui anachoropokaaa, uwiiiiih
Wasanii wa kibongo hawana mikataba ya kutisha wengi hata kuzishawishi kampuni za hapa nchini bado mara nyingi utaona labda tigo, Voda, Airtel na CRDB.

Bongo mtu ambae ana endorsement za makampuni ya nje ni Idris Sultan nlionaga ana Budweiser, Toyota, Samsung na zngn kibao
 
Yess
 
Rayvany nimeona Yuko na crdb..
Na wakati Fulani na Azam ..I guess..
Hizo ni kampuni kubwa Tz
 
Rayvany nimeona Yuko na crdb..
Na wakati Fulani na Azam ..I guess..
Hizo ni kampuni kubwa Tz
Upo sahihi kaka ukisoma hapo nimetaja kampuni zinazotoa endorsement kwa wasaniii mara nyingi ni wale wale mitandao ya simu na crdb, kwenye Azam alifanya promo ya ile event Azam na akatumbuiza siku ya Azam day.

Lakini mwandishi kasema rayvanny anafanya kazi na makampuni ya nje ndo nkawa nahoji ni kampuni gan ya kimataifa? CRDB cyo kampuni ya kimataifa
 
P Funk siku akiamua kubeba panga kuuwa wote waliomchezea mwanae mpaka Diamond Platnum tunazika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata kwa macho tu Rayvan hawezi kumfikia Harmonize Kiuchumi na FanBase...

Kipindi kile muda ulikua unamtaka Harmonize aenda kwa Kajala sio kwajili ya mapenz, alienda kupata attention ya WaTz kitu ambacho kilimpatia attention inayo muingizia pesa... Ndio maana alivyo ona Kiki inaanza kupungua akamuacha Kajala...

Kuhusu endorsements kibongo bongo bado wasanii wetu hawafaidiki kwa lolote na makampuni bado hawoni faida ya kuwatumia wasanii ku push brand au products za makampuni... Ndio maana utaona wasanii wengi hawana endorsements...

All in all mziki au sanaa za bongo ili uishi na uingize pesa lazima ufanye Kiki za kisenge, ndio maana unaona Diamond pamoja na level yake lakin bado anafanya drama/kiki za kitoto kishamba kama msanii wa juzi...
 
Uzi wa Ray vanny umejaa madongo kwa Harmonise,una weweseka mkuu.
 
Kuhusu p kulalamika bora angekaa na bkra yake kuliko kumpa rayvanny una maoni gani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Giggy kanijibia tena vile vile nilivyotaka.

Yaan P alikutwa bkra na Vanny? Hata ya uani enyewe hakuwa nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asituchosheee hapaaa.

Kikubwaa aache kumuweka mume wa mwenzake ktk drama zake. Hizo scenes za Vanny abadilishwe awekwe Marioo, mbna simple tyuuh
 
Mi nliskia kameanza mapenzi form one..akiwa form 2 konde kapita,dogo janja kapita
alikua anahongwa

Sa bkra gani anayoongelea..[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Giggy kanijibia tena vile vile nilivyotaka.

Yaan P alikutwa bkra na Vanny? Hata ya uani enyewe hakuwa nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asituchosheee hapaaa.

Kikubwaa aache kumuweka mume wa mwenzake ktk drama zake. Hizo scenes za Vanny abadilishwe awekwe Marioo, mbna simple tyuuh
Yaani wakati Enzi yuko tusiime pale alikua anahonga mlinzi afunguliwe geti anaenda kula good time na kaka Mmoja mtu Wa madini
Tusiime walishindwa mfukuza Kwa kua pesa mbele pale ila babro Johnson walishindwa wakamtema kwanza akili Hana halafu ni drama queen
Ile four ya 26 alistahiki kabisa Wala hakuonewa
 
Hata kwa macho tu Rayvan hawezi kumfikia Harmonize Kiuchumi na FanBase...

Kipindi kile muda ulikua unamtaka Harmonize aenda kwa Kajala sio kwajili ya mapenz, alienda kupata attention ya WaTz kitu ambacho kilimpatia attention inayo muingizia pesa... Ndio maana alivyo ona Kiki inaanza kupungua akamuacha Kajala...

Kuhusu endorsements kibongo bongo bado wasanii wetu hawafaidiki kwa lolote na makampuni bado hawoni faida ya kuwatumia wasanii ku push brand au products za makampuni... Ndio maana utaona wasanii wengi hawana endorsements...

All in all mziki au sanaa za bongo ili uishi na uingize pesa lazima ufanye Kiki za kisenge, ndio maana unaona Diamond pamoja na level yake lakin bado anafanya drama/kiki za kitoto kishamba kama msanii wa juzi...
Sawa endelea kutumia macho.
 
Back
Top Bottom