Tena zinajileta zenyewe!!!Ongeen Tu Lakin hata kama n ww ungepata chance ya kubomoa wote usingeacha pisi Kali Sana zile
Watu walikuwa hawamuelewi pfunk,ss wanamuelewaIla kajala maisha aliyoamua kuishi daah mitihani sana
Apia..P Funk siku akiamua kubeba panga kuuwa wote waliomchezea mwanae mpaka Diamond Platnum tunazika
Wasanii wa kibongo hawana mikataba ya kutisha wengi hata kuzishawishi kampuni za hapa nchini bado mara nyingi utaona labda tigo, Voda, Airtel na CRDB.Sasa huyu kidampaa utamuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hajui anachoropokaaa, uwiiiiih
YessWasanii wa kibongo hawana mikataba ya kutisha wengi hata kuzishawishi kampuni za hapa nchini bado mara nyingi utaona labda tigo, Voda, Airtel na CRDB.
Bongo mtu ambae ana endorsement za makampuni ya nje ni Idris Sultan nlionaga ana Budweiser, Toyota, Samsung na zngn kibao
Kuhusu p kulalamika bora angekaa na bkra yake kuliko kumpa rayvanny una maoni gani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yess
CrdbMakampuni gani makubwa Duniani yanafanya Kazi na Rayvanny?
Wasanii wa kibongo hawana mikataba ya kutisha wengi hata kuzishawishi kampuni za hapa nchini bado mara nyingi utaona labda tigo, Voda, Airtel na CRDB.
Bongo mtu ambae ana endorsement za makampuni ya nje ni Idris Sultan nlionaga ana Budweiser, Toyota, Samsung na zngn kibao
Majani alififiaHivi kweli kajala ana nyota ya dhiki?[emoji15]
Sio mara ya kwanza kusikia hii
Upo sahihi kaka ukisoma hapo nimetaja kampuni zinazotoa endorsement kwa wasaniii mara nyingi ni wale wale mitandao ya simu na crdb, kwenye Azam alifanya promo ya ile event Azam na akatumbuiza siku ya Azam day.Rayvany nimeona Yuko na crdb..
Na wakati Fulani na Azam ..I guess..
Hizo ni kampuni kubwa Tz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]P Funk siku akiamua kubeba panga kuuwa wote waliomchezea mwanae mpaka Diamond Platnum tunazika
Giggy kanijibia tena vile vile nilivyotaka.Kuhusu p kulalamika bora angekaa na bkra yake kuliko kumpa rayvanny una maoni gani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mi nliskia kameanza mapenzi form one..akiwa form 2 konde kapita,dogo janja kapitaGiggy kanijibia tena vile vile nilivyotaka.
Yaan P alikutwa bkra na Vanny? Hata ya uani enyewe hakuwa nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asituchosheee hapaaa.
Kikubwaa aache kumuweka mume wa mwenzake ktk drama zake. Hizo scenes za Vanny abadilishwe awekwe Marioo, mbna simple tyuuh
Yaani wakati Enzi yuko tusiime pale alikua anahonga mlinzi afunguliwe geti anaenda kula good time na kaka Mmoja mtu Wa madiniGiggy kanijibia tena vile vile nilivyotaka.
Yaan P alikutwa bkra na Vanny? Hata ya uani enyewe hakuwa nayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asituchosheee hapaaa.
Kikubwaa aache kumuweka mume wa mwenzake ktk drama zake. Hizo scenes za Vanny abadilishwe awekwe Marioo, mbna simple tyuuh
Ndo maana alishindwa kukaa na Majani maana alikua anamchungaMi nliskia kameanza mapenzi form one..akiwa form 2 konde kapita,dogo janja kapita
alikua anahongwa
Sa bkra gani anayoongelea..[emoji38][emoji38][emoji38]
Anafanya kazi gani huko mjini?Ila kajala maisha aliyoamua kuishi daah mitihani sana
Anafanya kazi gani huko mjini?
Sawa endelea kutumia macho.Hata kwa macho tu Rayvan hawezi kumfikia Harmonize Kiuchumi na FanBase...
Kipindi kile muda ulikua unamtaka Harmonize aenda kwa Kajala sio kwajili ya mapenz, alienda kupata attention ya WaTz kitu ambacho kilimpatia attention inayo muingizia pesa... Ndio maana alivyo ona Kiki inaanza kupungua akamuacha Kajala...
Kuhusu endorsements kibongo bongo bado wasanii wetu hawafaidiki kwa lolote na makampuni bado hawoni faida ya kuwatumia wasanii ku push brand au products za makampuni... Ndio maana utaona wasanii wengi hawana endorsements...
All in all mziki au sanaa za bongo ili uishi na uingize pesa lazima ufanye Kiki za kisenge, ndio maana unaona Diamond pamoja na level yake lakin bado anafanya drama/kiki za kitoto kishamba kama msanii wa juzi...