Basi huku kwetu hatujafikia yale maisha ya kindava haswa, lakini sio muda mrefu yatakuja...
Hii inanikumbusha wakatiwa NWA miaka yangu ya 90s kupenda Rap Music, Sikuhizi ni upuuzi mtupu
Illkuwa Dr Dre anataka kutoka Ruthless Records ya Eazy E, akajikuta yuko kwenye mkataba ambapo kila nyimbo atakayotoa Eazy E atakula dolari ndefu kwa asilimia kutokana na mkataba.
Dr Dre akaona isiwe shida, akamfuata Suge Knight na kumwambia anataka waanzisha lebo yao, ndio iliyokuja kujulikana kama DeathRow Records, na kumwambia kuna ishu ya yeye na mkataba wa Eazy E, hapo Suge Knight akamwambia Dr Dre usikonde mimi nitamaliza tatizo lako,
Siku kadhaa zilizofata alimfata Eazy E akiwa na baadhi ya wajeda wa kikundi cha undava kinachojulikana kama "Bloods" huku wakiwa na Automat Kalashnikov za kutosha, na kumwambia Eazy E aufute mkataba wake na Dr Dre, na hapo ndio ukawa mwisho na mambo ya kpuuzi kama haya, lakini Bongo nysoso, ooohh sijui utasika Mungu atawalipa, huu upuuzi hautambuliki US wala nchi yeyeto hata South nina uhakika
Hajatokea mtu mwenye akili ya kutukuogopa kufa, na kumaliza huu upuuzi wa WCB
Huyo mwenye shati jekundu ndie Suge Knight enzi zake...
View attachment 2312550