Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

Rayvanny atambulisha rasmi record label yake

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Msanii wa Bongo flavor kutoka lebo ya Wasafi Rayvanny maarufu Vanny boy ametangaza jina la lebo yake ambayo ameipa jina NEXT LEVEL MUSIC.

Rayvanny sasa anakuwa msanii wa kwanza Tanzania kuwa na lebo yake ikiwa bado yupo chini ya lebo nyingine (Wasafi)

rayvanny_1615231024273991.jpg
 
Msanii wa Bongo flavor kutoka lebo ya Wasafi Rayvanny maarufu Vanny boy ametangaza jina la lebo yake ambayo ameipa jina NEXT LEVEL MUSIC.

Rayvanny sasa anakuwa msanii wa kwanza Tanzania kuwa na lebo yake ikiwa bado yupo chini ya lebo nyingine. (Wasafi)

Sawa Mkuu shukrani kwa taarifa ,akijiondow WAISIBII utujuze pia.
 
Hatimaye yametimia. Yaliahidiwa na sasa yametimizwa.

NEXT LEVEL MUSIC kiwanda kipya town kinachotegemewa kusign wasanii wapya hivi karibuni chini ya CEO Rayvann.

Je, kitaleta chachu na mapinduzi ya kimziki tofauti na lebo nyingine za muziki zifanyavyo katika nyanja hii pendwa ya burudani nchini?
 
Hongera sana Chui, discipline ndio key ya mafanikio kwa kijana. Tengeneza empire yako bila kuwaletea dharau waliokufungulia milango.

Taratibu utafika usiwe kama yule mchimba chumvi anaelazimisha kuijenga Rome kwa siku moja matokeo yake kakosa direction.
 
Ilikuwa ni rahis kwa jarmonize kusepa ila kwa rayvanny bado sn diamond atahitaj msanii jumreplace bfr ajasepa
 
Back
Top Bottom