Rayvanny atwaa tuzo ya BET

Another record for WCB... Big Up Rayvann
 
Published on 24 Jun 2017
Video,Rayvanny akiwa na tuzo ya BET Viewers Choice Best New International Act 2017,anatoa Shukran kwa Diamond na mashabiki


Rayvanny na tuzo ya BET Viewers Choice Best New International Act 2017,Shukran kwa Diamond na ..

Source: SamMisago
 
Hizi tuzo zinamashetani. Mahesabu yake hayaeleweki
 
Sasa ungepataje taarifa akati umepotea hihihiiii [emoji23][emoji23].
hahaha
kuna reporter wangu alikuwa ana ku watch kimya kimya
akaona unafanya sherehe tu kipind spo [emoji23]
 
Sijui EATV wanajisikiaje tokea mwaka huu uanze hawajapiga nyimbo yoyote kutoka WCB, ila ndio hivyo KAMA IPO IPO TU. Hongera dogo.
 
Sijui EATV wanajisikiaje tokea mwaka huu uanze hawajapiga nyimbo yoyote kutoka WCB, ila ndio hivyo KAMA IPO IPO TU. Hongera dogo.
Hivi ni kweli...!??

Shame on them then....
 
We mpuuzi hapa kiba anaingiaje, acha chuki za kijinga na uwe unafuatilia habari ndo utajua kama kiba aliishia kwenye kili au aliendelea.....sasa endeleza huu ungese uone ninavyokukeshea..... Congrats to rayvanny! Team Tanzania
Wewe ni mchepuko wa Kiba? Mbona umekuwa mkali sana.

Ila unajua sana kumlinda na kutetea chepuko lako!
 
Anaweweseka[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…