Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Bro acha ubishi, binti wa bosi wangu yupo FORM SIX ana miaka 18 katimiza last month.siyo kweli hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro acha ubishi, binti wa bosi wangu yupo FORM SIX ana miaka 18 katimiza last month.siyo kweli hiyo
Anold shwerzniger Kama nakuona vile kwenye movie ya Jack.hii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.
Pale msomaji hakuna....amfungulie biashara labdaMama yake kasema mwezi wa sita Paula anaenda form five.
sawa sikatai mkuu lakini kwa kichwa cha Paula hapana nakataa mkuuBro acha ubishi, binti wa bosi wangu yupo FORM SIX ana miaka 18 katimiza last month.
Huyo pfunk hana lolote mzee.. hapa town...kama anaweza afanye lolote aone kama nayeye atakua safe....yani pfunk atachapika kweupe na uzee wakeTeknolojia za miaka hiyo ndiyo hivyo tena. Ila hiyo ya kumrekodi kwa kweli imeenda mbali sana. Ila Pfunk ni mtoto wa mjini. Rayvanny ametengeneza soo kubwa ya hatari. Atume tu watu wa heshima wakaongee na Majani. Tofauti na hapo ninakiona kisasi kikubwa kinakuja
Kwa Paula naungana na wewe[emoji3][emoji3][emoji3]sawa sikatai mkuu lakini kwa kichwa cha Paula hapana nakataa mkuu
Jamaa wana mkweza sana, akamguse Rayvanny ili tuone huo ubabe wake 😀😀😀Hiyo mikwala tu...smart boyz hawanaga kelele kabisa...
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Ndio tunasurbia tuone[emoji16]Jamaa wana mkweza sana, akamguse Rayvanny ili tuone huo ubabe wake [emoji3][emoji3][emoji3]
We umejuaje video kavujisha yeye?Huyu Rayvanny na yeye kumbe ni fala sana aisee. Yaani hawezi kula vyombo kimyakimya?
Fala yule hana maajabu. Mtoto amuharibu yeye na demu wake alafu analeta ukuda. Huwezi vuna usichopanda, alimuharibu kajala.. akaushe hekima na busara itumike tu hapo, tofauti na hapo ataenda kweli nyea ndoo
Hii ngoma hekima na busara tu, vitaweza kutatua. Ila wakiweka ubabe itakuwa ñi sawa na kuzunguka mmbuyu. Paula ni 18+, maisha yake ni ya kiutu uzima tupuMtu kama Rayvanny huwezi kumfanya chochote kwa mikono yako halafu ukaondoka kulala nyumbani kwako peacefully. Kwa Pfunk kumpiga Rayvanny ni kujitafutia Segerea ya ukubwani tu bila sababu. Kama anataka kumkomesha bora atumie sheria, kwa vile binti yake bado ni mwanafunzi, lakini sio kutumia ubabe wa kizamani, hizo ni akili za kijuha.
Mimi binti ameingia form one mwaka huu ana miaka 11siyo kweli hiyo
11-7 = 4.. mmh! Hii kama sio togwa, acha nikausheMimi binti ameingia form one mwaka huu ana miaka 11
Amevujisha yeye ndio aliyeipost kwenye akaunti yake ya instaWe umejuaje video kavujisha yeye?
Unasema majani wa kawaida hivi ushawahi kukutana nae uso kwa uso weweMajani wa kawaida sana , sema watu wanapenda mkweza sana. Hili litaisha na litapita kimya kimya.. Majani sio serikali
Hii ngoma hekima na busara tu, vitaweza kutatua. Ila wakiweka ubabe itakuwa ñi sawa na kuzunguka mmbuyu. Paula ni 18+, maisha yake ni ya kiutu uzima tupu