Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Anold shwerzniger Kama nakuona vile kwenye movie ya Jack.
 
Huyo pfunk hana lolote mzee.. hapa town...kama anaweza afanye lolote aone kama nayeye atakua safe....yani pfunk atachapika kweupe na uzee wake

Tushakutana na washua wale watata kwa mabinti zao...mwisho wa siku wahun sio watu...mtoto hachungwi kwa style hyo..

Huyo mtoto ashapinda kitambo na pipe kwake kama fashion..leo hii pfunk atangaze vita? Angetangaza kwa mkewe basi enz hizo...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ht km anatembea na wanajeda anapatikana tu huyo Ray

Sent using Jamii Forums mobile app


Mtu kama Rayvanny huwezi kumfanya chochote kwa mikono yako halafu ukaondoka kulala nyumbani kwako peacefully. Kwa Pfunk kumpiga Rayvanny ni kujitafutia Segerea ya ukubwani tu bila sababu. Kama anataka kumkomesha bora atumie sheria, kwa vile binti yake bado ni mwanafunzi, lakini sio kutumia ubabe wa kizamani, hizo ni akili za kijuha.
 
Hii ngoma hekima na busara tu, vitaweza kutatua. Ila wakiweka ubabe itakuwa ñi sawa na kuzunguka mmbuyu. Paula ni 18+, maisha yake ni ya kiutu uzima tupu
 
Majani wa kawaida sana , sema watu wanapenda mkweza sana. Hili litaisha na litapita kimya kimya.. Majani sio serikali
Unasema majani wa kawaida hivi ushawahi kukutana nae uso kwa uso wewe

Jamaa ana mwili akikubana lazima unyee
 
Hii ngoma hekima na busara tu, vitaweza kutatua. Ila wakiweka ubabe itakuwa ñi sawa na kuzunguka mmbuyu. Paula ni 18+, maisha yake ni ya kiutu uzima tupu


Kwa sheria za Tanzania, msichana hata akiwa na zaidi ya miaka 18,lakini bado ni mwanafunzi wa shule, ikigundulika umeshiriki kufanya nae tendo la ndoa, basi una kesi ya kujibu mahakamani.
Hii sio blah blah, ni sheria ya nchi hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…