Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mbona na yeye kamrubuni mtoto wa watu konde boy na serikali ipo kimya.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalia background ya Kajala na Majani. Alafu anza kutama mmoja baada ya mmoja maisha yao, ndio utapata picha harisi ya kinacho endelea, kiasi kwamba hakuna wa kumlaumu mwenzake.
 
Kuna wazazi wengi wakiume wamekaa wakisubiri Kuletewa mimba au wazike watoto zao kwa ukimwi maana ni balaaa.. Watoto wa kikee huwezi kuwakunjaa washakuwa wakubwaa mtoto anaishi na mama yake miaka yote anaona leo kaja na huyuu kesho kaja na yulee na anpigwa miti tena ndani humo humoo hivi leo Utashangaa paula kwenda kuliwa na Rayvanny. Watoto wanaolelewa na single maza ni tatizo sio tu kwenye maisha yao hata kwenye ndoa zao.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Angalia background ya Kajala na Majani. Alafu anza kutama mmoja baada ya mmoja maisha yao, ndio utapata picha harisi ya kinacho endelea, kiasi kwamba hakuna wa kumlaumu mwenzake.
Majanga sanaa ile familia yani Huyo mtoto ndo kashakuwaa mdangajii na WCB wao wanakulaa tuuu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Wanashangaa paula ma rayvany sasa sijui kanumba na lulu si ndo maajabu ya mwisho ya dunia. Paula yulee mkubwa sanaa yani mitii inapenyaa vizuri tu

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Na tunasahau ni kwa sababu Rayvanny anafahamika plus utoto utoto ndo maana hili nalo limefahamika lakini kabla ya Rayvann watu washakunja sana sema unaweza kukuta waliofanya hivyo sio celebreties au celebrities watafunao kimya kimya kama akina Kiba!!
 
Hapo labda kama vipi, wadungishe ndo ya mkeka kama dingi mtu na mother mtu wame. Ila mtoto kaanza hayo mambo kitambo
 
Angalia background ya Kajala na Majani. Alafu anza kutama mmoja baada ya mmoja maisha yao, ndio utapata picha harisi ya kinacho endelea, kiasi kwamba hakuna wa kumlaumu mwenzake.
Na ndo maana nikasema kwanza yamechangiwa na wote wawili kuzaa wakiwa bado vijana wadogo na wote walikuwa hawajamaliza ujana; and in fact, sio kumaliza, bali ndo kwanza walikuwa wanauanza ujana!!!
 
Tuache kutoa sifa za kuwajaza watu ujinga...majani hana lolote na hawez mfanya kitu rayvan... muda utaongea tuone kama yeye kidume kwel...angekua kidume kwel si angemtuliza kajala? Yeye mwenyew kaanza kumla kajala tangu dent mdogo...alipigwa hata ngumi? Atulie mwanae achezee pipe si kayataka mwenyew.. malipo hapa hapa mzee

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Mimi huyo demu kama na uwezo wa kumuhonga hata nyumba nahonga , ni chombo hasa ..... Vanny boy nilijua Tu atamla huyo manzi ..... Kila akitoa wimbo demu anajirekod anamtumia mwamba , mwamba anapost insta, nikajisemea vanny boy lazima amgeuze kitoweo huyu manzi ...na kweli , ....mi mwenyewe nataman nimchapie vannyboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…