Cotton pamba
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 303
- 209
We jamaa akiwa nyuma ya nondo sijui utakuja na kauli gani apa1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa akiwa nyuma ya nondo sijui utakuja na kauli gani apa1
Umesikia vibaya! Anatarajia kuanza Kidato cha V baada ya ku-reseat!Mbona nasikia yupo kidato cha sita na anatarajia kufanya mtihani mwezi 5
Angalia background ya Kajala na Majani. Alafu anza kutama mmoja baada ya mmoja maisha yao, ndio utapata picha harisi ya kinacho endelea, kiasi kwamba hakuna wa kumlaumu mwenzake.Ile hoja ya watoto kutopata malezi kutoka pande zote mbili hapo ina-apply sana!! Hata yule Patricia, sidhani kama Majani alishawahi kuishi nae wakati akiwa mdogo! Na ukichukulia u-star na Majani na maisha yake wakati yupo kijana, isingekuwa rahisi kwake kuishi na mtoto unless kama angekuwa ameoa mama wa hao watoto! Lakini kwa upande mwingine, Kajala nae ndie amechangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu hakuwa anaishi na Paula kama binti yake but more like her best friend! Mbona binti wa Monalisa hatujawahi kusikia akiwa na scandals za hovyo hovyo!! Watu wengi walimfahamu binti wa Monalisa baada ya kupasua paper ya Form IV huku Paula akiwa kafeli vibaya sana wakati walikuwa darasa moja!! Na huyo mtoto wa Monalisa ni mfano tu, kuna mastaa kibao ambao ni Single Mothers lakini mabinti zao hatuwajui kama tulivyokuwa tunamfahamu Paula! Ni kama Irene Uwoya! Hivi yule kijana wake angekuwa ndo mtoto wa kike, nani angeshangaa akiwa kama Paula!!
So, kosa kubwa la Kajala ni kusababisha binti yake, ambae ni kisu kweli kweli awe anaishi kama celebrity!! Watu wataharibu tu!!
Kuna wazazi wengi wakiume wamekaa wakisubiri Kuletewa mimba au wazike watoto zao kwa ukimwi maana ni balaaa.. Watoto wa kikee huwezi kuwakunjaa washakuwa wakubwaa mtoto anaishi na mama yake miaka yote anaona leo kaja na huyuu kesho kaja na yulee na anpigwa miti tena ndani humo humoo hivi leo Utashangaa paula kwenda kuliwa na Rayvanny. Watoto wanaolelewa na single maza ni tatizo sio tu kwenye maisha yao hata kwenye ndoa zao.Ndugu, katika dunia ya leo omba tu yasisikute! Majani kaamua tu kuweka wazi hadharani na kwavile anafahamika basi message imekuwa delivered lakini ukweli ni kwamba kuna malaki ya wazazi ambao na wenyewe wamesanda kwa watoto wao! Labda wewe huna mtoto na kama unao basi labda Mwenyezi Mungu kakujaalia hao watoto wanakusikiliza! Na wapo watu wengi tu waliorudisha mpira kwa kipa baada ya kuwashindwa watoto wao na hayo yakiwa yametokea hata kabla ya Intanet haijazaliwa huku kwetu achilia mbali mitandao ya kijamii!!
Majanga sanaa ile familia yani Huyo mtoto ndo kashakuwaa mdangajii na WCB wao wanakulaa tuuu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Wanashangaa paula ma rayvany sasa sijui kanumba na lulu si ndo maajabu ya mwisho ya dunia. Paula yulee mkubwa sanaa yani mitii inapenyaa vizuri tuAngalia background ya Kajala na Majani. Alafu anza kutama mmoja baada ya mmoja maisha yao, ndio utapata picha harisi ya kinacho endelea, kiasi kwamba hakuna wa kumlaumu mwenzake.
Me mwenyewe najitahidi kufuatilia Lakini nashindwaHaya mambo nilishindwaga kufuatilia..
Na tunasahau ni kwa sababu Rayvanny anafahamika plus utoto utoto ndo maana hili nalo limefahamika lakini kabla ya Rayvann watu washakunja sana sema unaweza kukuta waliofanya hivyo sio celebreties au celebrities watafunao kimya kimya kama akina Kiba!!Kuna wazazi wengi wakiume wamekaa wakisubiri Kuletewa mimba au wazike watoto zao kwa ukimwi maana ni balaaa.. Watoto wa kikee huwezi kuwakunjaa washakuwa wakubwaa mtoto anaishi na mama yake miaka yote anaona leo kaja na huyuu kesho kaja na yulee na anpigwa miti tena ndani humo humoo hivi leo Utashangaa paula kwenda kuliwa na Rayvanny. Watoto wanaolelewa na single maza ni tatizo sio tu kwenye maisha yao hata kwenye ndoa zao.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hapo labda kama vipi, wadungishe ndo ya mkeka kama dingi mtu na mother mtu wame. Ila mtoto kaanza hayo mambo kitamboMajanga sanaa ile familia yani Huyo mtoto ndo kashakuwaa mdangajii na WCB wao wanakulaa tuuu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Wanashangaa paula ma rayvany sasa sijui kanumba na lulu si ndo maajabu ya mwisho ya dunia. Paula yulee mkubwa sanaa yani mitii inapenyaa vizuri tu
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Na ndo maana nikasema kwanza yamechangiwa na wote wawili kuzaa wakiwa bado vijana wadogo na wote walikuwa hawajamaliza ujana; and in fact, sio kumaliza, bali ndo kwanza walikuwa wanauanza ujana!!!Angalia background ya Kajala na Majani. Alafu anza kutama mmoja baada ya mmoja maisha yao, ndio utapata picha harisi ya kinacho endelea, kiasi kwamba hakuna wa kumlaumu mwenzake.
in chid benz voiceUna mfunza madenda [emoji849][emoji849]
Tatizo ni mwanafunzi sasa...Hapo labda kama vipi, wadungishe ndo ya mkeka kama dingi mtu na mother mtu wame. Ila mtoto kaanza hayo mambo kitambo
Tuache kutoa sifa za kuwajaza watu ujinga...majani hana lolote na hawez mfanya kitu rayvan... muda utaongea tuone kama yeye kidume kwel...angekua kidume kwel si angemtuliza kajala? Yeye mwenyew kaanza kumla kajala tangu dent mdogo...alipigwa hata ngumi? Atulie mwanae achezee pipe si kayataka mwenyew.. malipo hapa hapa mzeeWe Kama ndio Rayvanny jiandae majani huwa hatanii
Kamuulize Prof jei na afande sele na bongo records artists wote wa Zamani .
Rayvanny fala Sana
Unakula mtoto mwanafunzi wazi wazi vile
Ulimbukeni wa kutaka kushindana na harmonize unamtokea puani
Safi majani piga ndosi kushato hivi vifala vinavyovaa hereni vinatuto.mbea wadogo zetu[emoji1]
Ukiambia peleka wanafunzi, na Paula utampeleka, nyie watu acheni utani. Mtu yoyote anaweza kuwa mwanafunzi. Ila sio mwanafunzi harisi. Kaangali picha zake insta alafu niambie mwanafunzi gani huyo
Na mie hapa sasa hivi nikisema narudi form four kurudi mtihani utaniita mwanafunzi ? Wakati hadi familia ipo 😀😀. Mtoto kaangalie mambo yake Insta ndio utajua
Lakini utamu si ameupata ila kwenda jela sizani Kama itatokea imeshindikana kwa Kanumba iwe hiyoAnaenda jela mwenzako ww unasema kakuwamilisha