Huyu demu Ni mtu na nusu aiseeMimi huyo demu kama na uwezo wa kumuhonga hata nyumba nahonga , ni chombo hasa ..... Vanny boy nilijua Tu atamla huyo manzi ..... Kila akitoa wimbo demu anajirekod anamtumia mwamba , mwamba anapost insta, nikajisemea vanny boy lazima amgeuze kitoweo huyu manzi ...na kweli , ....mi mwenyewe nataman nimchapie vannyboy
Hili sio jambo rahisiAmevujisha yeye ndio aliyeipost kwenye akaunti yake ya insta
jela ya wapi, toto lina miaka 20Anaenda jela mwenzako ww unasema kakuwamilisha
Hayo ukiwa mahakamani kwenye kizimba ndo utajua kama sio mwanafunzi au ni mwanafunzi...!! Usilete masihara kwenye ishu kama hizi uhuni wake haufanyi serikali isimtambue kama mwanafunzi. Jela itakuitaaUkiambia peleka wanafunzi, na Paula utampeleka, nyie watu acheni utani. Mtu yoyote anaweza kuwa mwanafunzi. Ila sio mwanafunzi harisi. Kaangali picha zake insta alafu niambie mwanafunzi gani huyo
Pmbavu sana hawa wahuni, unatafuta chain yote unaanza na jina moja moja ukishamaliza kazi, unaweka tiki ..huwez niharibia binti yangu haalfu umuweke kwenye social media mkiwa mnafanya UFUSKA for your own stupid and selfish interestsAnold shwerzniger Kama nakuona vile kwenye movie ya Jack.
Paula alikua ameresit anasubiri kwenda form five kwa sasa hayuko shule yoyotee
Sidhani km Majani ana zile jeuri za miaka ilee hapo may b kosa ni kuvujisha picha bila ruhusaPmbavu sana hawa wahuni, unatafuta chain yote unaanza na jina moja moja ukishamaliza kazi, unaweka tiki ..huwez niharibia binti yangu haalfu umuweke kwenye social media mkiwa mnafanya UFUSKA for your own stupid and selfish interests
Ngoja wapeleke mahakani uone, kitachotokeaHayo ukiwa mahakamani kwenye kizimba ndo utajua kama sio mwanafunzi au ni mwanafunzi...!! Usilete masihara kwenye ishu kama hizi uhuni wake haufanyi serikali isimtambue kama mwanafunzi. Jela itakuitaa
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Jela hajaenda dula makabila ataenda rayvan?Anaenda jela mwenzako ww unasema kakuwamilisha
Jela ya wapiAnaenda jela mwenzako ww unasema kakuwamilisha
Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]
Wenzenu anaenda liwa kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
Sio rahisi sana kwa level ya Rayvanny, nae akishajua kama hilo lawezekana atachukua taadhari. Pia sidhani kama majani ana weza fanya unyaka huoKuna wahuni hapa town, unadakwa unafededwa hata polisi huendi.
Tena bila huruma wanaweza kukufanya ATM, usipotoa hela ya kuficha siri utaikuta video pornhub