Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mimi huyo demu kama na uwezo wa kumuhonga hata nyumba nahonga , ni chombo hasa ..... Vanny boy nilijua Tu atamla huyo manzi ..... Kila akitoa wimbo demu anajirekod anamtumia mwamba , mwamba anapost insta, nikajisemea vanny boy lazima amgeuze kitoweo huyu manzi ...na kweli , ....mi mwenyewe nataman nimchapie vannyboy
Huyu demu Ni mtu na nusu aisee
 
Eti leo hii Pfunk anampiga Bit Van boy ,Pfunk hana lolote atakalolifanya kwa Van boy ,Na wahuni wanahamu sana sasa ajichanganye aone nini kimtamkuta.

Mtoto amekua mkubwa anataka paipuu tatizo nini Acha apelekewe moto .
 
Paula ni mzuri haswaa, nilikutana nae shulen kwake St Anne Marie - mbezi,
Ila sijui vipi naona yuko uraiani, wakati ilibidi awe shule anajiandaa kuhitimu kidato cha 6.
Nwei watajuana wao wenyewe na vanny boy wake.
 
Ukiambia peleka wanafunzi, na Paula utampeleka, nyie watu acheni utani. Mtu yoyote anaweza kuwa mwanafunzi. Ila sio mwanafunzi harisi. Kaangali picha zake insta alafu niambie mwanafunzi gani huyo
Hayo ukiwa mahakamani kwenye kizimba ndo utajua kama sio mwanafunzi au ni mwanafunzi...!! Usilete masihara kwenye ishu kama hizi uhuni wake haufanyi serikali isimtambue kama mwanafunzi. Jela itakuitaa

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Anold shwerzniger Kama nakuona vile kwenye movie ya Jack.
Pmbavu sana hawa wahuni, unatafuta chain yote unaanza na jina moja moja ukishamaliza kazi, unaweka tiki ..huwez niharibia binti yangu haalfu umuweke kwenye social media mkiwa mnafanya UFUSKA for your own stupid and selfish interests
 
Sidhani km Majani ana zile jeuri za miaka ilee hapo may b kosa ni kuvujisha picha bila ruhusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huyu Paula si kuna video yake nyingine chafu alirekodiwa ikasambaa hadi P Funk akaingilia kati kumtetea mwanaye yeye na Mama mtu wakasema eti siyo yeye
 
Kuna wahuni hapa town, unadakwa unafededwa hata polisi huendi.

Tena bila huruma wanaweza kukufanya ATM, usipotoa hela ya kuficha siri utaikuta video pornhub
Nyie mnajaza ujinga Rayvanny [emoji1]

Wenzenu anaenda liwa kiboga[emoji1787][emoji1787][emoji1]
 
Kuna wahuni hapa town, unadakwa unafededwa hata polisi huendi.

Tena bila huruma wanaweza kukufanya ATM, usipotoa hela ya kuficha siri utaikuta video pornhub
Sio rahisi sana kwa level ya Rayvanny, nae akishajua kama hilo lawezekana atachukua taadhari. Pia sidhani kama majani ana weza fanya unyaka huo
 
Back
Top Bottom