Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Nimeona video anamwita Vanny boy Daddy. Wahuni sio watu wazuri kwa kweli, dah
 
WCB ni wabaya sanaa, wabinafsi. Wapo tayari kuharibu heshima za watu KWA ajili ya kiki zao. Majuzi walimchafua baba Diamond, leo paula majani. Yule binti ni mwanafunzi, serikali itende haki, na kinachouma manager wao eti ni mbunge. Majani usikubali ujinga, hatakama ni 18 yule binti ni kwanini wavujishe video zake za faragha??? Mawakili Wanawake saidieni hili
 
Hii ishu itakae mtafuna ni vanny boy,binti wa watu still ni mwanafunzi,bila shaka atakua under age,sheria ikifuatwa kaumia...sijui alifikiria nini kupost ile video? any way kwa kua wote ni CCM WATAJUNA WENYEWE.
 
Nasikia alirisiti mwaka Jana,so 4m5 anaingia mwaka huu mwezi wa sita,kwa hiyo mpaka sasa ni raia wa kawaida mpaka mwezi wa sita na kishavuka 18+.
 
Kajala ni mzazi asiejielewa....kwanini atoe tamko baada ya video za mwanae kuvuja? If she knew all along kwamba mwanae alipelekwa lunch na Hamisa na wakafanya ushenzi na RayVanny kwanini haku condemn mapema hadi yakasambaa?
Ina maana kuna mengi yamefanyikwa kwa Paula ila tu hayajafika mitandaoni....so amemtumia Hamisa kama scapegoat tu.She should have started with Rayvanny kakimbilia kwa Hamisa (wrong move!!)

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Hii ishu itakae mtafuna ni vanny boy,binti wa watu still ni mwanafunzi,bila shaka atakua under age,sheria ikifuatwa kaumia...sijui alifikiria nini kupost ile video? any way kwa kua wote ni CCM WATAJUNA WENYEWE.
Video yenyewe haina maajabu, si ni kiss tu sio madenda hata. Ingekuwa kamtia mimba ndio kimbembe, alafu maisha ya uzungu vile vitu wanafanya hata marafiki tu. Kesi nyepesi ile mahakani
 
Ukitafuna binti wa watu na wewe binti wako iko siku atatafunwa tu! Kikubwa ni kumuomba Mungu yasikukute na akinusuru kizazi chako!
 
Video yenyewe haina maajabu, si ni kiss tu sio madenda hata. Ingekuwa kamtia mimba ndio kimbembe, alafu maisha ya uzungu vile vitu wanafanya hata marafiki tu. Kesi nyepesi ile mahakani
Kumbe haina maajabu, mi nilifikiri live Rayvany anatafuna, nianze kusaka connection [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Paula alikua ameresit anasubiri kwenda form five kwa sasa hayuko shule yoyotee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishafeli mtihani wa kwanza unakuwa sio mwanafunzi tena, hata akisoma five na six anakuwa private candidate na sio school candidate. Kwahiyo hayo matokeo yake ya kurist hawezi join advance kama school candidate hata kama amepiga one ya saba. So still Rayvanny yupo safe.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hawa watoto wazuri wanapenda sana wasanii ukijua kuimba tu utawamaliza.
Sio wasanii Tu, mtu maarufu yaani ukiwa maarufu Tu utapiga Sana mademu at zero cost ....hata kanisani Tu ukiwa maarufu , unajua kuimba , kupiga kinanda au kuhubiri kuwala wanawake ni kugusa tuuu, hata wachezaji maarufu , yaan ukiwa maarufu utawala mademu ..... Mtu maarufu anamzidi mwenye pesa in the short run kukubaliwa na wadada , Ila in the long run mwenye pesa anatake over
 
Kumbe haina maajabu, mi nilifikiri live Rayvany anatafuna, nianze kusaka connection [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Hamna chochote, ni busu tu na binti kumuita daddy, na ile ka Paula ku smile na ku mkiss daddy yake Rayvanny..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…