DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Valentine hii Ni murua Sana kwa kondeboy na Rayvanny.
Wanakula FOURSOME TABOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakula FOURSOME TABOO
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kumjaza upepoSio rahisi sana kwa level ya Rayvanny, nae akishajua kama hilo lawezekana atachukua taadhari. Pia sidhani kama majani ana weza fanya unyaka huo
Yah alipata division 4Ila nasikia alipata F shule
Tufanye harakati tuwe mastaa tule Hawa mademuWakubwa wanafaidi sana!
🤣🤣🤣🤣🤣 Hata me nimeiona mabaharia hawataiona pepo aiseeNimeona video anamwita Vanny boy Daddy. Wahuni sio watu wazuri kwa kweli, dah
we fala umenichekesha kinyama hahahaaKudadadadeki......Mama anagongwa kule ,Mtoto anabinuliwa huku.....Mama anagongwa kifo cha Mende kule,...Mtoto anachumishwa Matembele
Mkuu hawa watoto wazuri wanapenda sana wasanii ukijua kuimba tu utawamaliza.Tufanye harakati tuwe mastaa tule Hawa mademu
WCB ni wabaya sanaa, wabinafsi. Wapo tayari kuharibu heshima za watu KWA ajili ya kiki zao. Majuzi walimchafua baba Diamond, leo paula majani. Yule binti ni mwanafunzi, serikali itende haki, na kinachouma manager wao eti ni mbunge. Majani usikubali ujinga, hatakama ni 18 yule binti ni kwanini wavujishe video zake za faragha??? Mawakili Wanawake saidieni hilihii ni mbinu CHAFU ya wasafi na genge lao lile likiongozwa na boya nasibu nyange , kwakua wameona harmonize alikua anatrend zaidi ya wiki sasa na ana nyimbo mpya inakuja, wakaona sasa ngoja watumie mbinu chafu ya kutembea na mtoto wa kajala ambaye harmonize ana date naye, harmonize kua in love na kajala sio kosa na wote ni watu wazima, sasa wao wakaona ngoja tumkomeshe kwa kutembea na binti yake.. mbinu hio hawakujali kua hata kama itawaharibu profile mtoto mdogo kama paula, na wazazi wake, wao lengo lao ilikua ni kuharibu Kabisa trend ya harmonize sababu ya chuki kubwa waliyonayo kwake , japo wamefanikiwa lakini hii itakuja ku backfire vibaya sana ...Mimi ningekua Ndio baba wa huyo mtoto japo kama mzazi naelewa kadhia hii mbaya nisingejali kama ni nasibu wala nani amehusika, ningehakikisha chain yote iliyohusika naimaliza yote , either wafe au waende gerezani.
Hii ishu itakae mtafuna ni vanny boy,binti wa watu still ni mwanafunzi,bila shaka atakua under age,sheria ikifuatwa kaumia...sijui alifikiria nini kupost ile video? any way kwa kua wote ni CCM WATAJUNA WENYEWE.Sasa atafanya nini wakati mama mwenyewe nae dish lishayumba.
Ila ndio wanasema malipo hapa hapa duniani huyu mwenyewe P Funk alimtorosha Kajala kipindi yupo Form 3 wiki nzima wazazi wake Kajala wana hangaika kumtafuta mtoto wao,yeye yupo nae getho anajipigia.
Nasikia alirisiti mwaka Jana,so 4m5 anaingia mwaka huu mwezi wa sita,kwa hiyo mpaka sasa ni raia wa kawaida mpaka mwezi wa sita na kishavuka 18+.Hii ishu itakae mtafuna ni vanny boy,binti wa watu still ni mwanafunzi,bila shaka atakua under age,sheria ikifuatwa kaumia...sijui alifikiria nini kupost ile video? any way kwa kua wote ni CCM WATAJUNA WENYEWE.
Video yenyewe haina maajabu, si ni kiss tu sio madenda hata. Ingekuwa kamtia mimba ndio kimbembe, alafu maisha ya uzungu vile vitu wanafanya hata marafiki tu. Kesi nyepesi ile mahakaniHii ishu itakae mtafuna ni vanny boy,binti wa watu still ni mwanafunzi,bila shaka atakua under age,sheria ikifuatwa kaumia...sijui alifikiria nini kupost ile video? any way kwa kua wote ni CCM WATAJUNA WENYEWE.
Kumbe haina maajabu, mi nilifikiri live Rayvany anatafuna, nianze kusaka connection [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Video yenyewe haina maajabu, si ni kiss tu sio madenda hata. Ingekuwa kamtia mimba ndio kimbembe, alafu maisha ya uzungu vile vitu wanafanya hata marafiki tu. Kesi nyepesi ile mahakani
Ukishafeli mtihani wa kwanza unakuwa sio mwanafunzi tena, hata akisoma five na six anakuwa private candidate na sio school candidate. Kwahiyo hayo matokeo yake ya kurist hawezi join advance kama school candidate hata kama amepiga one ya saba. So still Rayvanny yupo safe.Paula alikua ameresit anasubiri kwenda form five kwa sasa hayuko shule yoyotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wasanii Tu, mtu maarufu yaani ukiwa maarufu Tu utapiga Sana mademu at zero cost ....hata kanisani Tu ukiwa maarufu , unajua kuimba , kupiga kinanda au kuhubiri kuwala wanawake ni kugusa tuuu, hata wachezaji maarufu , yaan ukiwa maarufu utawala mademu ..... Mtu maarufu anamzidi mwenye pesa in the short run kukubaliwa na wadada , Ila in the long run mwenye pesa anatake overMkuu hawa watoto wazuri wanapenda sana wasanii ukijua kuimba tu utawamaliza.
Hamna chochote, ni busu tu na binti kumuita daddy, na ile ka Paula ku smile na ku mkiss daddy yake Rayvanny..Kumbe haina maajabu, mi nilifikiri live Rayvany anatafuna, nianze kusaka connection [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]