Alipata dvsn 4, anasoma private pale St Anne Marie - mbezi, anamaliza 4m 6 now year.Huyo dogo mbona nasikia ni 21
Kisheria hii ipo je?? Ikumbukwe alipata zero form 4 kwa hiyo sio mwanafunzi tena
Upuuzi ni wa mama naona mkiwa kama wanawake mnaamua kubadili uelekeo na kumwangushia zigo la miiba P Funk. Ukumbuke alianza kulalamika mtoto asiwekwe mitandaoni toka akiwa shule ya msingi, ila mama yake aliendelea kumuweka akapuuzia. Majani alilalamika sana mtoto anasoma, ila alipuuziwa. Hamkusema lolote kipindi analalamika Paula akiwa hajaanza form one. Alipounganishwa na Dogo Janja pia hamkuwa mnaona, leo hii kaharibika zigo la mavi eti za dhambi za baba.Karma is real
Mungu amnusuru Paula, yamrudie P Funk mwenyewe
Mbona jicho la PAULA ni kavu sio la kulewa pombe kabisa.Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena...
View attachment 1702422
Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na PFunk Majani wakiwa kwenye huba huku akimuita daddy na kumpiga makiss.
View attachment 1702394
Paula ambaye ni mwanafunzi aliyefaulu juzijuzi tu mitihani yake ya kurudia form 4, amekuwa akiandamwa mitandaoni kutokana na picha anazoweka hususani Instagram huku Kajala akilaumiwa kwa malezi mabaya hata na mzazi mwenzie, P Funk aliyesema "amemwachia mama yake mtoto maana amemshindwa".
KAJALA AZUNGUMZA
Kupitia mtandao wa Bongo5, Kajala amesema yafuatayo akimshushia mzigo wa lawama Hamisa Mobetto:
"Mimi ni mzazi ambaye namlea mtoto wangu kwa katika mazingira magumu sana kutokana na tofauti moja mbili tatu na baba mtoto wangu lakini mimi nilikuwa nikipambana na kumpa kila anachotaka mtoto wangu ili aweze kutimiza ndoto zake kama msichana mana kesho nitakuja kumtegemea.
View attachment 1702420
Lakini pia nilikuwa nikikumbana na changamoto tofauti tofauti ambazo zinamkumba paula kama msichana lakini shutuma nyingine huwa zinanijia mimi direct kama mzazi wa Paula sina budi ya kuzipokea na kukumbana nazo as long as Mungu anajua ukweli wangu ,jinsi gani namtunza mwanangu na kiasi gani napambana kwa ajili ya mwanangu,basi yote yaliyotokea ya kunichafua na kunifanya nionekane mbaya kwenye jamii huwa namwachiaga Mungu tu.
Ilikuwa tarehe 9 saa 6 mchana Hamisa Mobetto aliniomba kutoka lunch na mwanangu, sikuona haja kumkatalia kwa sababu nilijua yeye ni mzazi ambaye ana mtoto pia wa kike,kumbe ndo hiyo siku alitake advantage kwenda kumkutanisha na rayvanny kwa manufaa yake binafsi, walimrubuni mtoto mdogo kwa kumnywesha pombe, wamemrecord video Chafu sawa mimi ni Mnyonge siwezi wafanya Chochote basi Hata Muogopeni Mungu.
View attachment 1702421
Kama Mungu Hamumuoni Hamuiogopi serikali ? na kuvujisha video bila woga wakati ni mtoto mdogo anasubiria mwezi wa 6 kuingia form 5 siamini kama kuna alie juu ya sheria Katika taifa hili kama leongo lilikuwa ni Kudet Mtoto Mdogo ili Kutimiza Matendo Haya Machu Ya Kustaajabisha haitoshi mnampatia mtoto pombe na kumrecord Video chafu lengo lilikuwa nini Kama sio kuharibu Maisha ya msichana wa kitanzania ?
Nimeumizwa mno na Hamissa mzazi mwenzangu hata kama iwe paula ndo alimwambia anaenda kukutana na rayvanny kama yeye mzazi ange Vaa kiatu changu na kujiuliza kinachoenda kutokea ni kitu gani au kama ni mimi nafanyiwa hivi ningejisikiaje? nimeshikwa na bumbuazi sina nguvu naomba Mamlaka husika wanisaidie kwenye hili mana hili pigo ni lawazazi Wote Duniani.
Paula ni msichana mdogo sana ana ndoto zake leo hii ameharibiwa profile nzima Je mmefikiria maamuzi gani anaweza chukua huyu mtoto kuona video kama hizi zinatambaa mtandaoni kama akiamua kujinyonga je?
Naomba sana msaada serikali yangu na mamlaka husika juu ya hili. 🙏"
HAMISA AJIBU, AAHIDI KUCHUKUA HATUA ZA KISHERIA KWA KUCHAFULIWA
View attachment 1702425
Katika ukurasa wake wa Instagram, Hamisa ameandika:
"Jamani hata kama HAMISA MOBETTO ndio jumba bovu lenu la kutupia takataka ifike mahala ifike ukomo. Siamini kama baada ya kukaa na kutafakari cha kuexplain kuhusu haya mmeona mimi ndio minaweza kuwa Damage Controller.
Kajala hiyo tarehe 9 mwanao aliniomba nimtoe Lunch, nikamwambia inabidi niongee na wewe kwanza, na nikakupigia ukaona ni sawa tu. Nilimtoa Lunch na muda wote nilikuwa naongea na wewe kwenye simu mpaka nimemrudisha hapo Gym kwako Mimi mwenyewe soon after lunch. Na huoni kama unaongea uongo hadharani bila woga? Siku ninatoka na Paula alikuwa na nywele hizo za kwenye videos?
Naomba nilaumiwe kwa kukubali ombi la kumpeleka mwanao lunch na si vinginevyo. Mimi ni mama, mfanyabiashara, mdau na balozi wa makampuni mbalimbali. Brand yangu nimeijenga kwa muda mrefu hivyo ningependa iheshimike na isichafuliwe kwa shutuma za uongo kama hizi.
Mimi pia ni mzazi na mtoto kwa mama yangu kama ilivo wewe. Nimeona nisafishe upepo mchafu huu uliouelekeza kwangu siku hii ya wapendanao, lakini zaidi you'll hear from my lawyer. Rest assured sitaliacha hili lipite bure, nafikiri itakuwa fundisho zuri na kwa wale woooooote ambao wamekuwa wakichafua jina langu kwa upuuzi wao."
Nikwambie kitu uelewe,home Nina dada wa kike.. home kifupi familia yetu Ina maadili sana na wazazi wetu ni wacha Mungu vzr,siku mtaani nakuja kuona video ya mdogo wangu akifanya mapenzi niliumia mnoooooooooooooooooo na video ipo xvideo mpka leo mdogo wangu hayupo sawa kisaikolojia na ilimpelekea mpka akafeli kidato cha sita.🤣🤣🤣🤣🤣
Kama wazazi wake wamemshindwa kumlea vizuri mtoto wao unataka mabaharia wafanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaarrgghh , Ni ngumu kwa Mwanamke maarufu tena msanii, Kua na mtoto wakike ambaye et atatofautiana naye kimaisha
Nyoka huzaa nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema nn..... Rayv wenu huyo KAZENGUA SANA.
ALAFU NI USHAMBA SANA, KUMBE HIZ VIDEO HUWA WANAZIREKODI WENYEWE, NA KUWATUMIA WATU, ILI WAZIVUJISHE ???.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ki-kiki ni faida kwa RayV, ila kimaisha, Kamharibia huyu mtoto.
Basi amuoe fasta, tukue imeisha!!!Sikia mashairi ya Vboy kwa mtoto Paula 😀😀
View attachment 1702606
Hii twajiandaa kula beche tu, na baba mkwe harmonize na pembeni mama mkwe kajala na baba mkwe mkubwa majani 😀😀😀Basi amuoe fasta, tukue imeisha!!!
Mtu mbaya.Hamna chochote, ni busu tu na binti kumuita daddy, na ile ka Paula ku smile na ku mkiss daddy yake Rayvanny..
Nachosubiri kwa hamu ni Rayvanny awashwe makofi, Dogo Janja zilipokutwa text za Paula kwenye simu yake akiwa studio ya Majani. Pona yake ni kukimbia hadi akaacha viatu.Majani mhuni aliwahi kumrekodia nyimbo Chameleon akazengua kumlipa. Alipanda ndege mpaka Kampala na alimnasa Chameleon vibao nyumbani kwake.
Ambacho hawajui watu ni kuwa Paula anampenda mno Rayvanny , na mwanamke mzuri akikupenda ndugu yangu ha haaaa hata hyo clip Paula alikuwa aware kabisa kwamba itapanda hewani for a while .....Mbona jicho la PAULA ni kavu sio la kulewa pombe kabisa.
Majani mna mkweza sana, hana huo ubavu kwa mkwe wake Rayvanny.Nachosubiri kwa hamu ni Rayvanny awashwe makofi, Dogo Janja zilipokutwa text za Paula kwenye simu yake akiwa studio ya Majani. Pona yake ni kukimbia hadi akaacha viatu.
Ilipovuja video akisemwa ni Paula analiwa kwenye gari, alipohojiwa alisema yule si mwanae. Angekuwa mwanae zingetoka video mbili, hiyo anayoliwa na nyingine huyo njemba anazibuliwa mtaro.
Hivi unadhani Majani ana njaa za hovyo sana, yule ni wa kishuaPaula ni mrembo , na celebrity haya mambo ni kawaida , wazazi ni celebrity unachomokaje wazee, .... Kama vip wamchukue wampeleke uingereza huko Kwa dada ake Ila huku akina domo watapita naye tuu ....
Alaf kuna sku Paula atampeleka Pfunk India kutibiwa ndo mshangae sasa
Majani Mafia yule wewe unamuonajeNachosubiri kwa hamu ni Rayvanny awashwe makofi, Dogo Janja zilipokutwa text za Paula kwenye simu yake akiwa studio ya Majani. Pona yake ni kukimbia hadi akaacha viatu.
Ilipovuja video akisemwa ni Paula analiwa kwenye gari, alipohojiwa alisema yule si mwanae. Angekuwa mwanae zingetoka video mbili, hiyo anayoliwa na nyingine huyo njemba anazibuliwa mtaro.
Anapeleka mahali kwa mzee masanjaMtu mbaya Vanboy 🤣
Nilichogundua watu mnamuonea wivu Sana Vanboy 🤣Nachosubiri kwa hamu ni Rayvanny awashwe makofi, Dogo Janja zilipokutwa text za Paula kwenye simu yake akiwa studio ya Majani. Pona yake ni kukimbia hadi akaacha viatu.
Ilipovuja video akisemwa ni Paula analiwa kwenye gari, alipohojiwa alisema yule si mwanae. Angekuwa mwanae zingetoka video mbili, hiyo anayoliwa na nyingine huyo njemba anazibuliwa mtaro.
Ndio ivyo watoto wa mbwa wanakuwa wakwe zakeHivi unadhani Majani ana njaa za hovyo sana, yule ni wa kishua
Itakuwa umeanza kumjua juzi, yule huwa haogopi mtuMajani mna mkweza sana, hana huo ubavu kwa mkwe wake Rayvanny.
Jamaa kapata chombo cha kisukuma alafu kinq uzungu kwa mbali.. huyo ndio Vboy mnyama.. anamwaga vitu pazuri kishenzi.. katoto kadogo dogoNilichogundua watu mnamuonea wivu Sana Vanboy 🤣
Mkuu nilichogundua watu wana chuki Sana Kwa Vanboy kumpata huyo mtoto , wanataka wangekuwa wao 🤣 Acha mtu mbaya vannyboy amwinamishe huyo mtoto mzuri😋Anapeleka mahali kwa mzee masanja
... nimekaelewa sana kale ka wimbo kake.. baba mkwe wake majani yeye atulie tu