Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mkuu nilichogundua watu wana chuki Sana Kwa Vanboy kumpata huyo mtoto , wanataka wangekuwa wao 🤣 Acha mtu mbaya vannyboy amwinamishe huyo mtoto mzuri😋
Acha tu, watu ukiwafatilia ni chuki na wivu tu. Ngoja Vboy aweke kabisa kitu ndani, maana wanafiri anatania
 
Nachosubiri kwa hamu ni Rayvanny awashwe makofi, Dogo Janja zilipokutwa text za Paula kwenye simu yake akiwa studio ya Majani. Pona yake ni kukimbia hadi akaacha viatu.

Ilipovuja video akisemwa ni Paula analiwa kwenye gari, alipohojiwa alisema yule si mwanae. Angekuwa mwanae zingetoka video mbili, hiyo anayoliwa na nyingine huyo njemba anazibuliwa mtaro.
😂😂😂
 
Mtoto anamuita mwamba oooh My dady , ma-mae , alaf kampa joto lote .... Mtu mbaya nimemkubali Sana , mtoto yupo tayar kupiga chini kwenda advance ili awe karbu na chui Vanboy ....mtoto karelax kabisa jaman , tuacheni wivu .....
 
Huu ni mwaka wa 🐆🐆🐆.. jamaa anajua ku point kinoma, alianza kale ka Fayvann nako , katoka hapo Paula jamaa anajua ku pick asee
 
Wasafi na wasanii wake nawakubali siwezi kuwaonea wivu. Nachozungumza ni ukweli, Majani ni mwehu yule
Hana wehu wowote ,anachapika vizur Tu , na mwanawe anainamishwa kama kawa.... Binti ana miaka 19 , kamaliza form four ana uwezo wa kuzingua kuwa staki shule nataka niolewe na mtu mbaya 🤣, alaf ulete ubabe wako wa mwaka sabini 🚶🤪
 
Huu ni mwaka wa 🐆🐆🐆.. jamaa anajua ku point kinoma, alianza kale ka Fayvann nako , katoka hapo Paula jamaa anajua ku pick asee
Hata mtoto wa G-Habashi huyo Karen anampenda mno Vanboy sema , chui hajamwelewa , mahadhi ya nyimbo zake wadada huwa anawaua kabisa Yule mwamba ... Hata huyo Nana wa kwenye I love you , vanny boy Tu alizingua lakini mtoto yeye mwneyewe alikiri mbele ya media kuwa nampenda Rayvanny.... Tuache wivu wajuba
 
Majani kinamuumaje kwanza ? Mbona ameanza na kajala yupo mtoto kabisa shule, hii anakula mbengu aliyopanda miaka kadhaa. Mtoto huyo anagawa tunda kitambo, au alitaka ale yeye ? Mtu unachopanda ndio unachovuna
Haijalishi hata kama yeye alikuwa anamgonga Kajala kipindi yupo shule kugongewa ni kugongewa tu.
 
Nikwambie kitu uelewe,home Nina dada wa kike.. home kifupi familia yetu Ina maadili sana na wazazi wetu ni wacha Mungu vzr,siku mtaani nakuja kuona video ya mdogo wangu akifanya mapenzi niliumia mnoooooooooooooooooo na video ipo xvideo mpka leo mdogo wangu hayupo sawa kisaikolojia na ilimpelekea mpka akafeli kidato cha sita.
Baharia aliyefanya yote hayo sasa hivi yupo segerea anachukua miaka 30 kisheria.
NB:usifurahie hizi Mambo acha zipite tu
Mulimuonea huyo baharia , alaf nipe hyo link ya Xvideo mkuu
 
Nachosubiri kwa hamu ni Rayvanny awashwe makofi, Dogo Janja zilipokutwa text za Paula kwenye simu yake akiwa studio ya Majani. Pona yake ni kukimbia hadi akaacha viatu.

Ilipovuja video akisemwa ni Paula analiwa kwenye gari, alipohojiwa alisema yule si mwanae. Angekuwa mwanae zingetoka video mbili, hiyo anayoliwa na nyingine huyo njemba anazibuliwa mtaro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mtoto wa G-Habashi huyo Karen anampenda mno Vanboy sema , chui hajamwelewa , mahadhi ya nyimbo zake wadada huwa anawaua kabisa Yule mwamba ... Hata huyo Nana wa kwenye I love you , vanny boy Tu alizingua lakini mtoto yeye mwneyewe alikiri mbele ya media kuwa nampenda Rayvanny.... Tuache wivu wajuba
Ananyota ya kupendwa na pisi kali, mie ningekuwa Vboy kale ka Nana ningelala nako mbele aseee 😋😋.. pia uzuri wa 🐆🐆🐆 hana tabia za umalaya wa waziwazi na uenda akawa hana kabisa
 
Nilichogundua jf ni tamu sana kwa upande wangu kama sina hela..

Happy valentine wote mnaokojolea patamu
Hata Wema alianza hivi hivi! Mara atoroke na TID Zanzibar,baadae, Charles Baba mwishowe akawa cha wote. Shida mitandao na umaarufu ndo vinawaponza. Dogo tayari kaharibika maana mafisi yalikuwa yanasubiri yafunguliwe njia tu yavamie kibuyu.
 
Hana wehu wowote ,anachapika vizur Tu , na mwanawe anainamishwa kama kawa.... Binti ana miaka 19 , kamaliza form four ana uwezo wa kuzingua kuwa staki shule nataka niolewe na mtu mbaya 🤣, alaf ulete ubabe wako wa mwaka sabini 🚶🤪
Na kama Paula sasa hivi wakikapa option, kapo tayari kuishi na mtu mbad chuiii.. sio habari za shule 😃😃
 
Back
Top Bottom