Paula alikuwa haamini kama yeye ndo pekee kaubeba moyo Wa mtu mbaya vanny boy , vanny boy kamwambia asubiri Valentine atamhakikishia , na kweli ikawa hvyo na mwamba katoa na wimbo kabisa akisema mtoto kama mzungu ana asili ya Mwanza na yupo tayar kutoa mahari Kwa Mzee masanja .....
Kimsingi hapo Paula ana furaha isiyo kifani na Kwa vile vannyboy studio yake ndo Kali Tz nzima , [emoji2957][emoji1787][emoji1787] Paula mtamuua Tu kwa Vanboy , naombeni muwe wapole , tuache wivu na tuiombee hii couple ifike mbali