Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Hapana, nakataa hii kauli yako, usigeneralize! Lakini pia hata P funk kwani nae hakujua kuwa Kajala alikuwa mtoto kipindi hicho?
Karma is....

Kwa hio kisa mzazi wake alikua hivyo ndio kunampa uhalali mtoto nae afanyiwe huo unyama?? RayVanny huyu ni mtoto na hii ni aibu!
 
Binti ana miaka 20 huko anakuwaje mtoto jaman...nyie mnataka Mpore haki za faragha za Paula , au ndug we ulianza kuliwa Una miaka 23 nini??

Huyo alitakiwa awe shule/chuoni...ushaona binti wa makamo hayo anajitegemea?
 
Utakuja kunyea debe kizembe sana wee dogo.
 
Kwa hio kisa mzazi wake alikua hivyo ndio kunampa uhalali mtoto nae afanyiwe huo unyama?? RayVanny huyu ni mtoto na hii ni aibu!
Paula ana utoto gani ? Kaangalie mambo yake na mama yake wana twerk kwenye insta.. alafu mwanamke wa miaka 20 ni mtu mzima huyo. Ingawa kuna mahala malezi ya huyu binti hayakuwa sahihi. Misingi ya makuzi yake ili haribika toka udogoni
 
Hyo adhabu ndogo kwa huyo mshenzi anamusambaza mtu Ili aweje na akizalilika angepata nini na akome simhurumii huyo baharia mharibifu na mchafuzi hata huyu rayvan anyooshwe iwe funzo kwa wanaozalilisha watoto wa kike
Dogo aliathirika mno kisaikolojia ilipelekea mpaka akafeli kidato cha sita,mpka sasa ni miaka 3 imepita lakini dogo hayuko sawa kabisa video ipo hadi xvideo
 
Rayvany akishikiwa bango hii ishu inammaliza hataamini
 
Huyo alitakiwa awe shule/chuoni...ushaona binti wa makamo hayo anajitegemea?
Unaishi unalaya au tanzania hii ? Kuna mabinti huyo Paula mkubwa wanalea familia.. au hujatembea ndugu.. ? Kajala imenonekana kwasababu ya umaarufu wa wazazi wake.. ila kuna mabinti wengi sana wa rika lake sasa hivi wanalea
 
Dogo aliathirika mno kisaikolojia ilipelekea mpaka akafeli kidato cha sita,mpka sasa ni miaka 3 imepita lakini dogo hayuko sawa kabisa video ipo hadi xvideo
Duh pole yake ila akubaliane tu na maisha imeshatokea you can't change it, a move forward Mimi hata itoke video gani I don't care Wala, ila I hope she will be okay. Kuna baadhi ya wanaume ka huyo akili sijui huziweka wapi?
 
Paula ana utoto gani ? Kaangalie mambo yake na mama yake wana twerk kwenye insta.. alafu mwanamke wa miaka 20 ni mtu mzima huyo. Ingawa kuna mahala malezi ya huyu binti hayakuwa sahihi. Misingi ya makuzi yake ili haribika toka udogoni

Miaka 20 ni mtu mzima?? huyu bado ni mtoto anauaga u teenager,bado hayuko matured enough kufanya decisions...kama malezi yake hayakua sahihi haimpi uhalali RayVanny ku take advantage of her...
 
Kwa hio kisa mzazi wake alikua hivyo ndio kunampa uhalali mtoto nae afanyiwe huo unyama?? RayVanny huyu ni mtoto na hii ni aibu!
Hakumpi uhalali mtoto wake kufanyiwa hivyo, lakini kumbuka Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Unaishi unalaya au tanzania hii ? Kuna mabinti huyo Paula mkubwa wanalea familia.. au hujatembea ndugu.. ? Kajala imenonekana kwasababu ya umaarufu wa wazazi wake.. ila kuna mabinti wengi sana wa rika lake sasa hivi wanalea

Ndugu,ndio maana viko vyombo vya kupinga ukatili kwa watoto,sio kisa sababu wapo waliozaa chini ya huo umri ndio tubariki unyanyasaji kwa watoto, NO!
 
Miaka 20 ni mtu mzima?? huyu bado ni mtoto anauaga u teenager,bado hayuko matured enough kufanya decisions...kama malezi yake hayakua sahihi haimpi uhalali RayVanny ku take advantage of her...
Kwani huyo Paulo .. alikuwa Bikra. Alafu hujui maisha ya kiswahiliz miaka 20 ni binti mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…