Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Hata siangalii twitter mimi.. Jana hamo kasema paula ni mwanafunzi sasa wewe kichwaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kujidai unamjua sana paula kuwa ni gubegube..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mpak sasa harmo hatak kusikia habar za Paula na Vannyboy mana zitamtia hasara , Mobeto kabinya kwenye pumbu....endeleeni kumjaza upepo πŸ˜€πŸ˜‹
 
Mpak sasa harmo hatak kusikia habar za Paula na Vannyboy mana zitamtia hasara , Mobeto kabinya kwenye pumbu....endeleeni kumjaza upepo [emoji3][emoji39]
Jana wametoka polisi unajua nini kimetokea huko???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mpak sasa harmo hatak kusikia habar za Paula na Vannyboy mana zitamtia hasara , Mobeto kabinya kwenye pumbu....endeleeni kumjaza upepo πŸ˜€πŸ˜‹
Ka mobeto kazuri ila.. bora hata konde angeenda pambania pale πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jana wametoka polisi unajua nini kimetokea huko???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ndo nimekuelezea sasa , harmo hatak kusikia masuala ya Paula na Vannyboy

Kilichotokea ni hiki hapa
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Jana wametoka polisi unajua nini kimetokea huko???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Polisi jana palikuwa Shwari mkuu. Ndio maana Salam_Sk baada ya kutoka huko, akapost wimbo ulio ( alio imbiwa mrembo Paula ) na Rayvanny, na kusema wa comment verse ambayo watu wameilewa. Nahisi hali ilikuwa nzuri. Hiyo issue nyepesi mtoto hajabakwa
 
Hii si picha tu mzee na maandishi au??

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Your browser is not able to display this video.

Alaf siku hyo mtoto alikuwa na wenzake kwenye gari ya mtu mbadi ,wakishuhudia mwenzao akipigwa mate na her lovely and only dady......

Nyie mnamsingizia Mobeto , Mungu anawaona mjue , Ila konde boy na Kajala itabd watulipe tuu hiwezekan wachafue kizembe hvo multibillion brand ya Mobeto πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ila Paula ndo final say akiwaombea msamaha fresh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi hapo unawehuka na huamini mweeeh.
Kwani we ulitakaje? Tatizo lako unaendeshwa na mihemko na mkumbo badala ya fact kwa sisi tulienda shule na wenye maarifa tulikuwa tunajua kabisa Rayvanny kesi Hana kwa mambo kazaa tuliona ndio maana maswali yetu tuliokuwa tunawauliza mmeshindwa kujibu
 
Wee nae khaaaaah sasa hizi fikra zako za kuwa mie nna muhemko na kufuata mkumbo zimekujaje? Au unadhan mie nlkua sijui? Au mie sijaenda shule?
Nlkua Nawa challenge hao watu wawili, ndo maan nlkua najibizana nao wao tu. Haya sasa relaaaaaaaaaaaax.
Msieeeeeeeeew.
 
Mpenzi jamaaan , nan tena kakuvuruga mamy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi huna M-PESA yangu? Nasubiri gawio ulopewa baada ya kusimama wima kumtetea vanny boy mtu mbadi hadi yupo huru now Time.
Huwa tunalipwa Kwa mwez dear , subir mwisho wa mwez ithibitishwe , tukale Raha πŸ˜‹
 
Huwa tunalipwa Kwa mwez dear , subir mwisho wa mwez ithibitishwe , tukale Raha [emoji39]
Muongo wee mshahara n mwsho wa mwezi, kwa hili lazima posho na marupu rupu yapo, plz hebu fanya hivyo fasta, kabla sijaanza kukufanyia limbwata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…