Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
- Thread starter
- #1,061
Mpak sasa harmo hatak kusikia habar za Paula na Vannyboy mana zitamtia hasara , Mobeto kabinya kwenye pumbu....endeleeni kumjaza upepo 😀😋Hata siangalii twitter mimi.. Jana hamo kasema paula ni mwanafunzi sasa wewe kichwaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kujidai unamjua sana paula kuwa ni gubegube..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app