Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Ila majani nae kaharibu watoto wa watu!! Salaaaale!Munira wa Forodhani anamjua vzr na vipigo juu!
Wanasema hivi goes around comes back vile vile Leo mwanawe live bila chenga na anachezea Kidevu cha Mzee baba
Laana za watoto wa Forodhani,Zanaki,jangwani n.k amewaharibia sana future huyu Majani


Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu yeye anajidaigi mtata kinoma..
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Ray asipokuwa makini anaweza akapigwa vibaya na huyu mzee

Si unajua uchungu wa kulea mtoto halafu anakuja mtu analeta uhuni kukuharibia binti yako

Atapigwaa..
 
Hivi sheria za nchi zikoje mtu kuwa katika mahusiano na mwanafunzi. Mimi sina uhakika ila kama sikosei nikosa kuwa katika mapenzi na mwanafunzi. Naomba kusahihishwa katika hili. Japo kwa upande mwingine hizi family drama sana mtoto utamuacha vipi kujipost katika mitandao ili iweje. wazazi lazima wawajibike
 
Mula vya wenzake na vyake huliwa malipo ni hapahapa duniani.
 
Ni fundisho kwa wanaume wote mnaochezea mabinti wadogo wa wanaume wenzenu huku ukijua kuwa wewe ni rijali na utazaa watoto wakiwemo mabinti. Ukipanda mahindi huwezi vuna mpunga. Pfunk umevuna ulichopanda kwa Kajala miaka kadhaa iliyopita. Na iwe fundisho kwetu sisi madume mbegu. Mkuki kwa nguruwe ni mtamu ila kwa binadamu ni mchungu.
 
Namsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Apigwe tu hakuna namna, yeye anadhani maisha ya mtoto wa mtu ni Kampeni za CCM pumbavu kabisa hawa watoto wa siku hizi
 
Msanii Kajala Masanja ameibuka na kuitaka serikali iwachukulie hatua Hamisa Mobetto na Rayvanny kwa kumnywesha pombe binti yake aitwaye Paula na kisha kumrekodi video kuashiria yupo katika mahaba na Rayvanny. Awali zilivuja mtandaoni video zilizoonesha Rayvanny na Paula wakiwa katika penzi zito.

Kajala amedai siku ya tukio Hamisa alimuomba Kajala atoke na Paula wakatembee kumbe alikuwa na ajenda ya siri, alimchukua Paula na kwenda naye kwa Rayvanny ambapo walimnywesha pombe na Kisha kumrekodi kipande cha video chenye maudhui ya mapenzi mazito.

Punde baada ya kipande hicho cha video kuachiwa mtandaoni Rayvanny aliachia kipande cha wimbo kilichotafsiriwa Kama wimbo kwa ajili ya Paula.

Kitendo hicho kimetafsiriwa na wataalamu wa mambo Kama kiki ili tu Rayvanny naye apate kutrend hasa ikizingatiwa kuwa mama yake na Paula yaani Kajala anatoka na Harmonize.

Lakini je nini hatima ya sokomoko hili endapo mamlaka za serikali zikiingilia kati kuitikia wito wa Kajala anayedai binti aliyenyweshwa pombe ni mwanafunzi na mwenye umri mdogo?

Je hili halitamtia Rayvanny matatani kumnywesha pombe binti wa miaka 17 tena mwanafunzi na kumrekodi? View attachment 1702362View attachment 1702363
Kajala yy ndiye anaye takiwa kulaumiwa.
1.Kosa la kwanza alilolifanya ni kumuexpose mtoto kwenye mitandao ya kijamii,mbaya zaidi kumuexpose kwa wadangaji wenzake.

2.Kosa la pili kumsindikiza binti yake kwenye tamasha la after skul bash.Huko wazee wa uchu wenye ndimu na chumvi zao wanejazana kibao,hawajui mwanafunzi wala mtu mzima wao wanagonga.

3.Yeye mwenye hajiheshimu kwani inavyo onekana hata wanaume anao date nao Paula anawajua.Hatukatai kudate ila atizame nafasi yake,kwani yeye ni mama wa binti mkubwa.Kwani kuna kipindi alipigwa denda na Quick Racka na ile clip ikasambaa.Sasa hivi ndio ana date na Kondeboy na Zanzibar wameenda wote na Paula.

So kwa tabia mbaya za mwanae yeye ndiye anaye stahili lawama,ndio maana majani mwezi uliopita aliongea yeye Paula kishamshindwa,inaoneka kuna vitu alikuwa anaviongea kumrekebisha mwanae ila kwa jinsi inavyo onekana mama yake ana mkingia kifua.Kutoka na ile kauli ya Majani Kajala na mwanae wakamponda Majani.
 
Mabeto ni Dalali tu hapo kamuunga Paula na Rayvanny ,ila Hapo wote wana makosa MAbEtO na Ray ni wa kufungwa tu hakuna namna.

Ila Whats goes around comes Around ..Pfunky alikuwa anakula kabinti kanafunzi(KAJALA) na yeye imemrudia kwa PAULA.
Kajala alimwamini sana Mobeto kwakuwa Mobetto na Paula walikuwa best friends...hii ni siku ya birthday ya Paula
images%20-%202021-02-14T155309.293.jpg
 
Back
Top Bottom