Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Alafu yeye anajidaigi mtata kinoma..Ila majani nae kaharibu watoto wa watu!! Salaaaale!Munira wa Forodhani anamjua vzr na vipigo juu!
Wanasema hivi goes around comes back vile vile Leo mwanawe live bila chenga na anachezea Kidevu cha Mzee baba
Laana za watoto wa Forodhani,Zanaki,jangwani n.k amewaharibia sana future huyu Majani
Sent using Jamii Forums mobile app
Akuna cha faragha mkuu,shida ni kuliwa kimaskhara.Swala sio kumla kumrecord faragha.
Unabinti?Akuna cha faragha mkuu,shida ni kuliwa kimaskhara.
Wahuni mabinti zao wakiliwa kimaskhara uwa wakali sana.
Ray asipokuwa makini anaweza akapigwa vibaya na huyu mzeeNamsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu Kajala ni mpumbavu nini, Mbona yeye anamkomaza viungo mtoto wa watu Harmonize lakini mama yake Harmonize ametulia tuli kama vile hajui kinachoendelea
Kwani Paula na Njomba nchumali si wanalingana tu
Mbona yeye alianza kumchakata kajala akiwa 4m 2 which is better ambaye ameanza kuchakata baada ya mtot kumaliza shule au ??😆😆😆Ray asipokuwa makini anaweza akapigwa vibaya na huyu mzee
Si unajua uchungu wa kulea mtoto halafu anakuja mtu analeta uhuni kukuharibia binti yako
Atapigwaa..
Apigwe tu hakuna namna, yeye anadhani maisha ya mtoto wa mtu ni Kampeni za CCM pumbavu kabisa hawa watoto wa siku hiziNamsikiliza hapa redion P Funk Majani kuhusu inshu ya mwanae aisee jamaa katoa povu ile mbaya.
Kasema akikutana na Rayvanny nchi hii haitasahau atakachomfanyia dogo kitu pekee kitakachomuweka dogo salama ni yeye ( Majani) kuwekwa ndani na Sirro asipewe lawama sana. Kadai hataki interview nyingine na viblogu uchwara. Aisee jamaa kaongea kwa uchungu.
Wakku tunamsaidiaje Rayvanny?
Kajala yy ndiye anaye takiwa kulaumiwa.Msanii Kajala Masanja ameibuka na kuitaka serikali iwachukulie hatua Hamisa Mobetto na Rayvanny kwa kumnywesha pombe binti yake aitwaye Paula na kisha kumrekodi video kuashiria yupo katika mahaba na Rayvanny. Awali zilivuja mtandaoni video zilizoonesha Rayvanny na Paula wakiwa katika penzi zito.
Kajala amedai siku ya tukio Hamisa alimuomba Kajala atoke na Paula wakatembee kumbe alikuwa na ajenda ya siri, alimchukua Paula na kwenda naye kwa Rayvanny ambapo walimnywesha pombe na Kisha kumrekodi kipande cha video chenye maudhui ya mapenzi mazito.
Punde baada ya kipande hicho cha video kuachiwa mtandaoni Rayvanny aliachia kipande cha wimbo kilichotafsiriwa Kama wimbo kwa ajili ya Paula.
Kitendo hicho kimetafsiriwa na wataalamu wa mambo Kama kiki ili tu Rayvanny naye apate kutrend hasa ikizingatiwa kuwa mama yake na Paula yaani Kajala anatoka na Harmonize.
Lakini je nini hatima ya sokomoko hili endapo mamlaka za serikali zikiingilia kati kuitikia wito wa Kajala anayedai binti aliyenyweshwa pombe ni mwanafunzi na mwenye umri mdogo?
Je hili halitamtia Rayvanny matatani kumnywesha pombe binti wa miaka 17 tena mwanafunzi na kumrekodi? View attachment 1702362View attachment 1702363
Hakika hii Valentine ya leo ni tamu mnoo.. Yaani sijaboreka kabisaa..Wazee ila maji hufuata mkondo...yeye kama mama anapiga picha za hivi mtoto afanye nini?View attachment 1702371
Alifukuzwa kitambo labda kama wanapika uhamishoMbona nasikia yupo kidato cha sita na anatarajia kufanya mtihani mwezi 5
Kajala alimwamini sana Mobeto kwakuwa Mobetto na Paula walikuwa best friends...hii ni siku ya birthday ya PaulaMabeto ni Dalali tu hapo kamuunga Paula na Rayvanny ,ila Hapo wote wana makosa MAbEtO na Ray ni wa kufungwa tu hakuna namna.
Ila Whats goes around comes Around ..Pfunky alikuwa anakula kabinti kanafunzi(KAJALA) na yeye imemrudia kwa PAULA.
Unataka kumfanya nini?Unabinti?