missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Wameachiwa?Mbona watuhumiwa wako huru, kuwa mpoleeh sasa na u relaaaaaax.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameachiwa?Mbona watuhumiwa wako huru, kuwa mpoleeh sasa na u relaaaaaax.
Yes wameachiwa mbna tangu asubuhi ya leo. Wako huru rayvan na mobetto.Wameachiwa?
Daah nakupenda mamy , bas tuma namba yako PM nikupe ya vocha jaman , japo tupo kwenye majonzi ya kufiwa na maalim seifMuongo wee mshahara n mwsho wa mwezi, kwa hili lazima posho na marupu rupu yapo, plz hebu fanya hivyo fasta, kabla sijaanza kukufanyia limbwata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maalim seif sharrif hamad huyu? Au yupi? [emoji24][emoji24][emoji24]Daah nakupenda mamy , bas tuma namba yako PM nikupe ya vocha jaman , japo tupo kwenye majonzi ya kufiwa na maalim seif
Haha harmo si atapasuka huko alikoYes wameachiwa mbna tangu asubuhi ya leo. Wako huru rayvan na mobetto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee lol, haya bhana sawa.Ohooo na nakusisitiza uvae barakoa mamy....staki kulia mara mbili Mimi , hebu pitia jukwaa la siasa upate ubuyu kamili ....af leo nitakupiga mate dear[emoji39]
Tena sijui huko aliko ana hali ganHaha harmo si atapasuka huko aliko
Nilikuwa naona hauna logical argument kwenye comment zako ndio maana nikasema hivyo kumbe lengo Ni kuchangamsha Kijiji basi nisamehe.Wee nae khaaaaah sasa hizi fikra zako za kuwa mie nna muhemko na kufuata mkumbo zimekujaje? Au unadhan mie nlkua sijui? Au mie sijaenda shule?
Nlkua Nawa challenge hao watu wawili, ndo maan nlkua najibizana nao wao tu. Haya sasa relaaaaaaaaaaaax.
Msieeeeeeeeew.
Kwa taarifa nilizopata kwa members wenzangu huyo Ni shoga Sasa wewe jisoge tu karibu utachokiona hautaaminiMpenzi jamaaan , nan tena kakuvuruga mamy
missyrose tuliwambieni hapo Rayvanny kesi Hana tatizo lenu mnaongozwa na hisia na akili za mangekimambi badala ya kuwa na logical reasoning na facts na kesi yao imeisha mapema Sana.Nilivyoona tu ile video haina ngono zaidi ya mabusu ambapo Ni Jambo la kawaida katika relationship ukizingatia hiyo video inaonesha binti ndio anamzimikia Rayvanny na yupo happy na akimkiss mwamba nikaona hapo kesi haipo lakini nyinyi mkaaminishwa eti video Ina uchafu lengine huyo binti anasoma elimu ya watu wazima private candidate (Imformal education) hayupo kwenye student government system ( Formal education) baada ya kufeli form iv nikapigia kabisa Jibu mstariWameachiwa?
Katoka kilaini sana yani..lolmissyrose tuliwambieni hapo Rayvanny kesi Hana tatizo lenu mnaongozwa na hisia na akili za mangekimambi badala ya kuwa na logical reasoning na facts na kesi yao imeisha mapema Sana.Nilivyoona tu ile video haina ngono zaidi ya mabusu ambapo Ni Jambo la kawaida katika relationship ukizingatia hiyo video inaonesha binti ndio anamzimikia Rayvanny na yupo happy na akimkiss mwamba nikaona hapo kesi haipo lakini nyinyi mkaaminishwa eti video Ina uchafu lengine huyo binti anasoma elimu ya watu wazima private candidate (Imformal education) hayupo kwenye student government system ( Formal education) baada ya kufeli form iv nikapigia kabisa Jibu mstari
Slowly
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haha harmo si atapasuka huko aliko
🤣Haha harmo si atapasuka huko aliko
Unajua missyrose sometime ukiwa hauna elimu na maarifa inakuwa hasara kajala akili Hana plus bwana wake kondeboy yeye anaongozwa na chuki zake binafsi na ndio alikuwa ana mjaza Kajala ujinga yaani kiufupi wote wamekutana vichwa maji alafu wajuaji kumbe haya mambo hayaogozwi kwa hisia Bali kwa taaluma na maarifa badala yakupata kwanza muongozo au Ushauri wao wamekurupuka kwenda polisi madhara yake ndio haya na wabongo walivyokuwa wanafiki baadhi ya watu walikuwa wanawaunga mkono wataanza kuwageuka.Kama nae Rayvanny angekuwa mjanja hawafungulie kesi ya kumchafulia brand yake anatashinda kesi mapema.Katoka kilaini sana yani..lol
Harmo alikuwa sawa, alitanguliza zaidi chuki, na kutafutia kiki hapo hapo. Ndipo alipo haribuHaha harmo si atapasuka huko aliko
Na wanaenda endeleza mapenzi yao, ila tu sasa hivi hawato postKatoka kilaini sana yani..lol
😳😳😳 Noma... 🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️ acha nimuachie zigo lake mkuu SlowlyKwa taarifa nilizopata kwa members wenzangu huyo Ni shoga Sasa wewe jisoge tu karibu utachokiona hautaamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeh kumbe ni hilo tyuuh, vipi huna lingne la kutaka kujua kuhusu mie? Ili uwe na uhakika plus ushahidi.[emoji15][emoji15][emoji15] Noma... [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211] acha nimuachie zigo lake mkuu Slowly