Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kwa taarifa yako tu hakuna kesi ya ubakaji mpaka sasa, na hiyo video ilipostiwa kwa makubaliano kati ya Ray na mpenzi wake.
Paula kashamaliza mchezo ,na mbona ilijulikana tangu mapema demu ndio alitaka video ipande hewani cse alikuwa haamin kama vannyboy anampenda kweli, mwamba akamwambia subili valentine , natunga na wimbo kabisa 😋😋😋...sasa vishumundu wa kimakonde wanakuja na ngojera za malezi na bla bla kibao😀😀
 
Kwaiyo Paula official chombo yetu imekuwa.. Njomba nchumali akameze condom sasa 🤨😎😎😎
 
ni mdogo sana na bado mwanafunzi. hapo sasa ukisikia kwa sheria zetu, tamaduni zetu.hio tamaduni zetu ndio itakayomzamisha.hiv unajua video ndio mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mibibi kizee inakera sana humu, hivi paula ana utoto gani? Ushawahi kufuatikia page yake ya instagram wewe? Kale ni kamalaya tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeh kumbe ni hilo tyuuh, vipi huna lingne la kutaka kujua kuhusu mie? Ili uwe na uhakika plus ushahidi.
Nimezoea kwa Mpalange Eti unipeleka Mbezi (Bado sana)
 
Mambo haya ni mazito kuliko tunavyoyaonaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mange yamemshindaa alikuwa anamtetea hamisa ilaa naonaa vimeumana..
Screenshot_20210217-180526.jpg

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Japhet Kibona ameeleza kuwa; “Ni kweli walikamatwa jana, hii ni kesi ya polisi na hupaswi kueleza walichokizungumza ni nini ila kilichopo ni kusambaza picha kwenye mtandao bila ridhaa ya mmoja wapo mwenye hizo picha, Hamisa na Rayvanny walidhaminiwa wote“.
 
Kweli ndo maana dada Mange kakaushaa... lakini yaliyomoo duu

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mambo haya ni mazito kuliko tunavyoyaonaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mange yamemshindaa alikuwa anamtetea hamisa ilaa naonaa vimeumana..View attachment 1704740

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Wasenge hao wanaanza kujitoa mmoja mmoja , hii issue wanawake wote wakae pembeni ni issue ya kibabe, haihtaji umama mama... wao waende kwenye thread zao za kike sjui Lulu kaolewa sjui ndoa ya Majizo , na usenge usenge mwingine .... Ni mwanaume mwehu Tu anayeweza kushangilia kufungwa Kwa mwanamme mwenzake kisa kagonga demu et mwanafunzi wa umri Zaid ya miaka 18, ....hzi rabsha Kwa mwanaume ni swala la kawaida kabisa na tunatembea na tamaa , kibaya ni Kula vitoto below 17 ,...... Kwa hii issue mi siwez kumkandia Rayvanny whatever the cost .......mabinti sku hzi mpak wanatongoza wanaume , above 18 huyo ni Safi kabisa kumchoma choma
 
Mkuu ni kweli lakini hii kesii ikiisha kinyumbani rahisi sana ilaa wakianza mambo ya mahakama mkuu acha kabisaa kuleta ushabiki na hisia kwenye mambo haya.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni kweli lakini hii kesii ikiisha kinyumbani rahisi sana ilaa wakianza mambo ya mahakama mkuu acha kabisaa kuleta ushabiki na hisia kwenye mambo haya.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hakuna ushabiki hapo na hakuna cha ufamilia , kesi imebak moja , swala la mwanafunzi halipo tena , wasipofunga hyo kesi tunatembea na Mobeto ma-mae..
 
Back
Top Bottom