Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Fact.Mimi sidhani kama ishu ya kumsomesha girlfriend ni mbaya kama unao uwezo wa kumsomesha.
Mbaya kama pesa zako ni za mawazo na unasomesha kama investment, ila kama unafanya msaada its ok watu wanasomesha watu baki kabisa.
Sisi kwetu tumesomesha mabeki tatu mpaka vyuoni.