MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Yaan watu WANYAKYUSA hata awe mjini mda mrefu bado mshamba tu sijui kwann
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza wazungu wana vibamia kwa hiyo ni bora mara mia.. sio ampeleke pale CBE akaliwe na mihogoBora akaliwe na Wazungu kuliko kubaki huku na bado akaliwa.
Maumivu ya kutombewa na mzungu, ina uafadhali kwenye saikolojia. Utajidanganya, basi kawapendea rangi 😂😂😂😂😂.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wauza mkaa wasikubali kumuuzia Rayvan gunia zima la mkaa.
Si ujinga huo sasa?Yes kwa ulaya iyo 18 aendeshe gari wanakuwaga na hamu Sana Tena Sana. Mana anaendesha kwa kujjiiba,ama kwa roads fulanifulani.
Mahusiano Yao na yanadumu Sana sio sir huku tumelaaniwa kila mtu unataka utoke naye.
Hao kuja kuaachana nao ni kazi Sana.
MTT akipenda mzazi anamsikiliza mwanane anachopenda.
Kuna jamaa yangu tukiwa rashia alikuwa anaenda kwao binti akifika wazazi wanampisha anamkula binti Yao nyumbani.
In life jitahidi kufanya kitu kwa ajili ya maisha ya mtu regardless....................Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.
Kwanini umtolee ada halaf umsomeshe nje, ulitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada unalipa na matumizi unampa pia ,anakaa kwako, anatokea kwako unampa Gari, unamcontrol, Sasa wewe mbaya na una sura mbaya Kama Mimi halaf unaenda kumsomesha msichana long distance trade , ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumiaa pesa zako anazokulipa diamond kulipia Bata , utateseka mno.
7
Nafurahi Sasa fahyma ataweza pata amani. Ila kumbuka bongo vyuo vipo vingi, usingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna
I wish ungemsikia mch Mugogo akitoa mafunzo kuhusu kumsomesha mtu ambaye hujamuoa wala hujafunga ndoa nae, mwisho wake ni kusaga meno.Mimi sidhani kama ishu ya kumsomesha girlfriend ni mbaya kama unao uwezo wa kumsomesha.
Mbaya kama pesa zako ni za mawazo na unasomesha kama investment, ila kama unafanya msaada its ok watu wanasomesha watu baki kabisa.
Sisi kwetu tumesomesha mabeki tatu mpaka vyuoni.
Uo ni ushauri kapewa na watu wazimaHela zake..muachen azitumie atakavyo
Sonia si ndo kaukwaa Ukraine au Paula naeNa hivi kaenda Ukraine na winter ndo hii inakuja. Huyu binti namuonea huruma. Atasoma kweli ?
Dah na mswaki sijapiga ila nimecheka kama bata..haka kamwandiko kako labda ukashangae Ziwa Victoria.
Kenge we.
Kapige mkuu afu ujeDah na mswaki sijapiga ila nimecheka kama bata..
Halafu ukraine kuna mijitu mirefu hatariPaula hakumaliza 6 sijui imekuwaje akapata chuo?
Ki rayvan kilivyo kifupi hata mwezi hautopita handsome wa kizungu na urefu wao kazi imeisha.
Huyo hajaenda kusoma,huo ni mpango wa kajala baada ya kuona mtoto kawa malaya kama yeye bongo hana dili tena akaamua abadilishe mazingira.
Hapo anatafutwa bwana wa kizungu wa kutoa matumizi.