Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Sioni kama Rayvanny ana sura mbaya.
Mahusiano ya Rayvanny na Paula naona kama yako staged (yamepangwa) kwa ajili ya kiki tu..
Huo ni mtazamo wangu tu
Hebu tuache masiala mtoto mtamu na mrembo kama yule ukipewa Unaweza kutafuta nae kiki au kufanya kweli? be honest
 
Baridi lazima u sex la sivyo unaumwa. Wazungu mabinti wao wakishabalehe wanawahimiza wawe na boyfriends.
Ila Bongo unatishiwa kuwa utafeli shule. Wewe cheza
Nilikwenda nchi moja ,nilikuwa nafanya field kwenye hospital moja. Nilikutana na binti wa miaka 17 akiwa field akimalizia mwaka wake wa kwanza. Nilimdadisi kuhusu yeye. Kwanza aliniambia anaishi pamoja na boyfriend wake wote wanasoma medicine na wana umri mmoja. Aliniambia wote hawana sup mwaka wao wa kwanza akaniambia yeye anataka kuwa sergion na boyfriend wake anataka kuwa Dr katika anesthesia. Na utu uzima wangu nilijifunza kitu.
 
Tupe ulichojufunza.
 
Tupe ulichojufunza.
Watoto wa umri huo kuwa kwenye mahusiano ambayo yapo officially kabisa kwenye familia zao. Wanaishi pamoja,wanasoma pamoja,wapo focused kutimiza ndoto zao. Mapenzi yao hayaaffect masomo yao kihasi bali kichanya. Na waliniambia wapo wote since wana 13 yrs old. Nakumbuka ilikuwa birthday ya binti. Alitamani kufikisha miaka 18 ili aendeshe gari rasmi maana leseni tayari anayo. Wale watoto wapo matured sana.
 
Yes kwa ulaya iyo 18 aendeshe gari wanakuwaga na hamu Sana Tena Sana. Mana anaendesha kwa kujjiiba,ama kwa roads fulanifulani.
Mahusiano Yao na yanadumu Sana sio sir huku tumelaaniwa kila mtu unataka utoke naye.
Hao kuja kuaachana nao ni kazi Sana.
MTT akipenda mzazi anamsikiliza mwanane anachopenda.
Kuna jamaa yangu tukiwa rashia alikuwa anaenda kwao binti akifika wazazi wanampisha anamkula binti Yao nyumbani.
 
Mdogo wangu rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.

Kwanini umtolee ada halaf umsomeshe nje, ulitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada unalipa na matumizi unampa pia ,anakaa kwako, anatokea kwako unampa Gari, unamcontrol, Sasa wewe mbaya na una sura mbaya Kama Mimi halaf unaenda kumsomesha msichana long distance trade , ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumiaa pesa zako anazokulipa diamond kulipia Bata , utateseka mno.
Nafurahi Sasa fahyma ataweza pata amani.
Ila kumbuka bongo vyuo vipo vingi, usingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna
Usiseme mchumba bali sema ,mdangaji hasomeshwi
 
Back
Top Bottom