Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Sonia si ndo kaukwaa Ukraine au Paula nae
Wamefuatana huko
Wote wapo huko. Sijui kwa nini hawajakwenda United kingdom au United states of America au pale Uholanzi. Naona wameenda vyuo vya kata Ukraine watoto wa mastar.
 
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.

Kwanini umtolee ada halaf umsomeshe nje, ulitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada unalipa na matumizi unampa pia ,anakaa kwako, anatokea kwako unampa Gari, unamcontrol, Sasa wewe mbaya na una sura mbaya Kama Mimi halaf unaenda kumsomesha msichana long distance trade , ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumiaa pesa zako anazokulipa diamond kulipia Bata , utateseka mno.
7
Nafurahi Sasa fahyma ataweza pata amani. Ila kumbuka bongo vyuo vipo vingi, usingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna

Muache Vanny boy alipe kwani angeshtakiwa kumtumia mtoto chini ya umri si miaka30 ingemhusu👋
Sio ajabu hata wao wenyewe hawana mpango wa kuoana ila ni makubaliano walipeana kumaliza shtaka👐
 
Yes kwa ulaya iyo 18 aendeshe gari wanakuwaga na hamu Sana Tena Sana. Mana anaendesha kwa kujjiiba,ama kwa roads fulanifulani.
Mahusiano Yao na yanadumu Sana sio sir huku tumelaaniwa kila mtu unataka utoke naye.
Hao kuja kuaachana nao ni kazi Sana.
MTT akipenda mzazi anamsikiliza mwanane anachopenda.
Kuna jamaa yangu tukiwa rashia alikuwa anaenda kwao binti akifika wazazi wanampisha anamkula binti Yao nyumbani.
Hahaha Hii mambo huku itaishia kutishiana vitanda et unasikia yani unaleta mwanaume kwenye kitanda changu
 
Paula pad yake imeshikwa na Kajala mama akiishiwa hela anabonyeza x mmongoli aka mla palachichi anatikiswa hela inatumwa kwa Paula inarudi kupitia western union kwa mmama mtu Yan ni kaumalaya pro max fulan huku mama mtu anakwambia mwanae dogo usiachie bahati ukipata zee la kizungu tulia nalo shonga angu wtf
 
Yaan watu WANYAKYUSA hata awe mjini mda mrefu bado mshamba tu sijui kwann
Ushamba wa asili [emoji1][emoji1].Wamezidiwa mpaka na wakina mwagito apo Kwa mkwawa saizi wanaupiga mwingi
 
Mchumba hasomeshwi, yaani dogo mama yake anauza mbogamboga nzovwe yeye anasomesha demu nje ya nchi, dogo ni fala wa karne acha mama arndelee kukatakata kabichi tutamuungisha
Kuna ndugu yangu alikuwa anamsomesha binti mmoja pale SAUT Mwanza, na ambaye walionana mitaani hapo mjini, binti akiwa mwaka wa kwanza. Wakapendana, wakakubaliana kywa wachumba. Jamaa akaanza kugharamia kila kitu. Tukamtahadharisha, akajua ni wivu tu, kwa yeye kuja kuoa msomi.

Siku ya Graduation hapo chuoni, aliiona picha kamili. Aliambiwa AMKOME! Almanusura ajiue!
 
Yes kwa ulaya iyo 18 aendeshe gari wanakuwaga na hamu Sana Tena Sana. Mana anaendesha kwa kujjiiba,ama kwa roads fulanifulani.
Mahusiano Yao na yanadumu Sana sio sir huku tumelaaniwa kila mtu unataka utoke naye.
Hao kuja kuaachana nao ni kazi Sana.
MTT akipenda mzazi anamsikiliza mwanane anachopenda.
Kuna jamaa yangu tukiwa rashia alikuwa anaenda kwao binti akifika wazazi wanampisha anamkula binti Yao nyumbani.
Hyo russia ulivyoiandika bwashee yaonyesha kabisa umetupiga kambaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hivi kaenda Ukraine na winter ndo hii inakuja. Huyu binti namuonea huruma. Atasoma kweli ?

Ataishia kwenye mawindo ya 'wapopo', wazee wa kuwachanganya dada zetu wa isti afrika 😁😁
 
Ha ha ha ha ha nimesikia mtoto wa Pfunky Majani na Kajala Masanja, Paula alipata division sufuri katika matokeo yake ya kidato cha nne mwaka 2019.

Sasa huko Marekani anaenda kusomea nini?

Music mzee, na kupiga picha....urembo, fasheni yaani safi kabisa na ulimbwende
 
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.

Kwanini umtolee ada halaf umsomeshe nje, ulitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada unalipa na matumizi unampa pia ,anakaa kwako, anatokea kwako unampa Gari, unamcontrol, Sasa wewe mbaya na una sura mbaya Kama Mimi halaf unaenda kumsomesha msichana long distance trade , ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumiaa pesa zako anazokulipa diamond kulipia Bata , utateseka mno.
7
Nafurahi Sasa fahyma ataweza pata amani. Ila kumbuka bongo vyuo vipo vingi, usingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna
Watu wa Dar wenyewe mnajuana hapo hata sijaelewa kitu.
 
Hyo russia ulivyoiandika bwashee yaonyesha kabisa umetupiga kambaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwangu unahisi kwenda Russia, au Marekani ni mpaka uwe msomi sanaa [emoji23]?
Connection tu, Mwana kaenda Rashia, sisi tupo huku huku buza na dictionaries zetu
 
Mimi naona ninmisheni ya mama take kummuvushisha Paula ulaya ili yeye aserebuke nabrayvanny, kwani mama nae Bata anapenda anaona wivu kwa mwanaye
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Duh....................................!
 
Back
Top Bottom