Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Rayvanny bwana mdogo, Mchumba hasomeshwi, umeshindwaje asome bongo

Yes kwa ulaya iyo 18 aendeshe gari wanakuwaga na hamu Sana Tena Sana. Mana anaendesha kwa kujjiiba,ama kwa roads fulanifulani.
Mahusiano Yao na yanadumu Sana sio sir huku tumelaaniwa kila mtu unataka utoke naye.
Hao kuja kuaachana nao ni kazi Sana.
MTT akipenda mzazi anamsikiliza mwanane anachopenda.
Kuna jamaa yangu tukiwa rashia alikuwa anaenda kwao binti akifika wazazi wanampisha anamkula binti Yao nyumbani.
Dah tamaduni nyngne n shida yaan mwamba anaenda kumkaza bint yao Tena kwao na wao wanajua binti anapigwa mbolo





Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa umri huo kuwa kwenye mahusiano ambayo yapo officially kabisa kwenye familia zao. Wanaishi pamoja,wanasoma pamoja,wapo focused kutimiza ndoto zao. Mapenzi yao hayaaffect masomo yao kihasi bali kichanya. Na waliniambia wapo wote since wana 13 yrs old. Nakumbuka ilikuwa birthday ya binti. Alitamani kufikisha miaka 18 ili aendeshe gari rasmi maana leseni tayari anayo. Wale watoto wapo matured sana.
Ina maaanA wanakizoea wakiwa wadogo so hata ukubwani hakuna kuona hili Jambo ni jipya yaani wanakuwa hawana shobo na ngono Tena.
Nadhani ndo Mana wanakuwa wana innovate vitu Mana sex huwa inafanya ubongo unakuwa active Sana.
 
Baridi lazima u sex la sivyo unaumwa. Wazungu mabinti wao wakishabalehe wanawahimiza wawe na boyfriends.
Ila Bongo unatishiwa kuwa utafeli shule. Wewe cheza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikwenda nchi moja ,nilikuwa nafanya field kwenye hospital moja. Nilikutana na binti wa miaka 17 akiwa field akimalizia mwaka wake wa kwanza. Nilimdadisi kuhusu yeye. Kwanza aliniambia anaishi pamoja na boyfriend wake wote wanasoma medicine na wana umri mmoja. Aliniambia wote hawana sup mwaka wao wa kwanza akaniambia yeye anataka kuwa sergion na boyfriend wake anataka kuwa Dr katika anesthesia. Na utu uzima wangu nilijifunza kitu.
Mbona hata huku kwetu wapo pia, ni vile kila mtu na upeo au uwezo wake.
 
Back
Top Bottom