Tofautisha kuwapa pesa wachezaji kama pongezi baada ya kushinda mechi na kuwaahidi pesa kabla ya mechi kukamia timu fulani na ikibidi kuwaumiza kabisa.
Halafuuuu mbona hizo ahadi ni pale Simba inapocheza na timu nyingine na hizo timu haziahidiwi na hao wakuu wa mikoa zikicheza na timu nyingine,au nyinyi ni vipofu hamuoni hayo eeeh?
Tff hawawezi kufanya upuuzi huo kam una ushahidi uweke wazi tuokoe soka letu,au la hiyo ni mihemko yako tu.
Yaani Mo ampe kesi Manji halafu baadae tena atekwe,kweliii?
Halafu hata hivyo mbona hamkusema kipindi hicho kuwa Mo ndio kapelekea Manji kufanywa vile unakuja na hoja ya kindezi hii leo,kweli??Mo ana nguvu hizo kweli au umefilisika kwa hoja jibaba?
Haya,Mara Kikwete mara sijui nani utawataja wote wahujumu wa Simba hapa,hujaulizwa unajaa mwenyewe.