RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

Kwani hapo kuna uongo gani? Tuambie ni kiongozi gani ambae watoto wake wako kayumba?? Huyu Rc ni wakutiliwa mfano.
 
RC dodoma 💯✓✓✓✓✓✓
 
Maana ya kauli hiyo inaweza kuwa.

Kwamba kuwa watu tuliowapa/ waliopewa dhamana ya kusimamia elimu nchini kwetu, hawana uchungu wa elimu yetu, kwa sababu tu watoto wao wasoma nje ya nchi.
Kwani uwongo? Mna ucuungu na watoto wa wanyonge? Acha kujifaragua. Huo ndiyo ukweli. Mtoto wa kibosile gani anasoma kayumba?
 
Hakuna kilichoniudhi mpaka anaingilia masuala ya maendeleo ya familia ya mwenzake, mala oooo, yeye anasomesha watoto international , ni afadhali wangezinguana kimfumo sio mpaka personal ensues.
 
Ameteleza kwa kusema ukweli! Binafsi nawakubali sana watu wanaosema ukweli.

Hayo mambo ya kubembelezana na kufichiana madhaifu, yalishapitwa na wakati.
Sasa mbona Kaufyata ???

Nimesoma na kupokea maoni,ushauri na kila aina ya hisia ambazo naamini ni kwa upendo juu ya Clip yangu kuhusu kambi za Kitaaluma nilipokuwa nikizungumza na wananchi wetu katika tafsiri yoyote ile naomba Radhi kwa wote waliokwazika ,wananchi na Viongozi wenzangu hasa pale matumizi ya neno "Waziri" lilipobeba hisia tofauti nawaheshimu Mawaziri wote na nafanya nao kazi kwa ushirikiano mkubwa natambua pia kazi nzuri inayofanywa na Mawaziri wetu wanaosimamia sekta ya elimu - Wapo wanaodhani maelezo ya hisia zangu ni kuanza kupandisha mabega,na pengine mgema akisifiwa tembo hutia maji-niwaondoe hofu sina sababu ya kupandisha mabega .
 
Waliambiwa wakiwamaliza watatafunana wenyewe na cijui wakimalizana watatafuna nini??
 
Non sense
 
CCM na wanaCCM wapowapo kwa sasa katka maisha ya maluweluwe sana.Kuna kitu kinawapiga "waliokuwepo na wasiokuwepo" kwenye "udhalimu".Ni vema kutubu kwa nia njema na roho safi ili wapate msamaha wa Maanani na Watanzania waliowaonea na kuwakosea.Toba ni muhimu.🧐🧐🧐
 
Shule nyingi watoto wanasoma mbali kama alivyosema RC Mtaka. Hawa watoto unategemea wafanye vizuri kweli.

Halafu Waziri anadai hakuna tuitions, anajifanya elimu bure na kutetea Wazazi kutumia falsfa ya unyonge. Ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa. Hutaki Wazazi wakachangia kupush na ku-motivate waalimu ni Roho mbaya tu aliyonayo Ndalichako.

Rais amewakabidhi wakuu wa mikoa kusimamia wanacho ona ni sahihi. Mawaziri ni wasimamizi wa sera tu, wao ndiyo wanajua vipaumbele vya mikoa yao collectively.

Elimu yetu niya hovyo, mzazi usipofanya juhudi binafsi mwanao ataishia kuwa machinga. Unapo fika vijijini na kujishughulisha na jamii ndiyo utajua. Yote yaliyokua yanazungumzwa mengi ni mapambio tu aliyoanzisha Mwendazake

Rais inawezekana alikua serious, lakini hawezi fika Kila Kijiji .! Lazima kupata watu wakweli Kama huyu RC Mtaka ili mambo yasonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…