Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaguHiyo ya kupiga mbizi ilikuwa ya anani?
RC anapaswa kulijua na kulikumbuka hili: It isn’t about what you say, it is about how you say it…RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"
Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
View attachment 3214871
6. Serikali haijaleta tetemeko utajenga mwenyewe.5. serikali haina shamba
Asidhani kama sisi ni wajinga kiasi hicho. We are no longer but himself is.Akizungumza na wanahabari siku ya leo, Chalamila amesema kuwa kauli yake dhidi ya wamama wajawazito waliokosa hela imetumika vibaya ukizingatia kwamba sasa tuko kipindi cha Uchaguzi,
Chalamila amesema kwamba kuna haja ya watu kuangalia clip nzima ya video hiyo kwani kuna upotoshaji mkubwa unaendelea kutokana na sehemu ndogo tu ya clip hiyo kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Unadhani wote wanafanya hivyo. Watu wanashida usiseme hivyo. Wewe unabangaiza walau unapata 2000 ya bundle.Tupo na wewe muheshimiwa usiyumbishwe.
Tunawaona Wana katika maumo kwenye magari madaladala na vigomaa
Tupo na wewe.
As
Asidhani kama sisi ni wajinga kiasi hicho. We are no longer but himself is.
Hiyu bwana hatoshi
kweli kabisa!Unadhani wote wanafanya hivyo. Watu wanashida usiseme hivyo. Wewe unabangaiza walau unapata 2000 ya bundle.
Anatoka huyo mpaka kujitetea kashaona ngoma ngumuMama amuangalie huyu, anamuharibia
Amejitahidi kujitetea lakini this is the most stupid nonsensical utetezi ambao nimewahi kuusikia!Akizungumza na wanahabari siku ya leo, Chalamila amesema kuwa kauli yake dhidi ya wamama wajawazito waliokosa hela imetumika vibaya ukizingatia kwamba sasa tuko kipindi cha Uchaguzi,
Chalamila amesema kwamba kuna haja ya watu kuangalia clip nzima ya video hiyo kwani kuna upotoshaji mkubwa unaendelea kutokana na sehemu ndogo tu ya clip hiyo kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Soma pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Wewe ndie umesema sasa kuna watu wanasema hapa oooh kashindwa hata elfu hamsini ya bimaIla tukiweka ushabiki pembeni, tukiachana na hili la mama wajawazito, kwa watu wasiokuwa na bima ya afya sio kwa kupenda bali ni kipato duni, ni kumuomba Mwenyezi Mungu tu aendelee kuwapa afya njema.
Hizi familia zetu za pangu pakavu mtu akiugua tu unaanza kuwaza gharama za matibabu badala ya kuwaza khali ya mgonjwa😥.
Ili kujua wanayopitia wenye wagonjwa wasio na bima ya afya na wenye kipato duni jaribu kuwa mazingira yao muda wanaokuwa wanapokea bill kwa ajili ya kuclear malipo.
Inaumiza sana.
Serikali yetu ingejaribu tu kuweka mazingira rafiki na gharama zinazostahimilika kwa watu wa makundi yote.
Kipaumbele cha kwanza kwenye hizo bajeti iwe ni Afya kabla ya mazaga mengine.
Tofauti na hivyo Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda, tuishie kuwa na mafua tu ambayo tunaweza kuyamaliza kwa kushika jembe.
Mkuu, siku zote mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Wewe ndie umesema sasa kuna watu wanasema hapa oooh kashindwa hata elfu hamsini ya bima
Yale yale ya aliyeshiba hamjui mwenye njaa kuna watu wanapata hela ya kula tu mlo mmoja buku kwa siku nayo kwa mbinde uje umwambie bima ya 50 elfu?
Msichokijua pia ni kwamba hiyo hamsini utaitoa na kuna vitu bado utanunua
Wazee tusikufuru hawa wenzetu waliokosa mtaani hali mbaya sanaaa tena sanaaa tuwe na hekma