RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

Akizungumza na wanahabari siku ya leo, Chalamila amesema kuwa kauli yake dhidi ya wamama wajawazito waliokosa hela imetumika vibaya ukizingatia kwamba sasa tuko kipindi cha Uchaguzi,

Chalamila amesema kwamba kuna haja ya watu kuangalia clip nzima ya video hiyo kwani kuna upotoshaji mkubwa unaendelea kutokana na sehemu ndogo tu ya clip hiyo kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Soma pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

As

Asidhani kama sisi ni wajinga kiasi hicho. We are no longer but himself is.
 
Kungonoeka raha! Kujifungua tugharamie siyeee atiiiii! Astaghafurulahii bwaaasheeeh!
 
Akizungumza na wanahabari siku ya leo, Chalamila amesema kuwa kauli yake dhidi ya wamama wajawazito waliokosa hela imetumika vibaya ukizingatia kwamba sasa tuko kipindi cha Uchaguzi,

Chalamila amesema kwamba kuna haja ya watu kuangalia clip nzima ya video hiyo kwani kuna upotoshaji mkubwa unaendelea kutokana na sehemu ndogo tu ya clip hiyo kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Soma pia: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Amejitahidi kujitetea lakini this is the most stupid nonsensical utetezi ambao nimewahi kuusikia!

Chalamila umetoka nje kabisa ya mada, huu haukuwa mjadala, huyu mama amekupigia simu analazimishwa kulipa Tshs 50,000 ukamjibu utumbo wewe mwenyewe umetuambia. Je alikuambia kwamba alishindwa kulipa kwa sababu alikuwa kwenye ngoma za vigodoro? Ni utetezi wa kijinga sikudhani mtu msomi kama wewe unaweza kuutoa. Ni afadhali tu ungeomba msamaha, kwa huyu mjamzito, kwa Samia na Watanzania
 
Ila tukiweka ushabiki pembeni, tukiachana na hili la mama wajawazito, kwa watu wasiokuwa na bima ya afya sio kwa kupenda bali ni kipato duni, ni kumuomba Mwenyezi Mungu tu aendelee kuwapa afya njema.

Hizi familia zetu za pangu pakavu mtu akiugua tu unaanza kuwaza gharama za matibabu badala ya kuwaza khali ya mgonjwa😥.

Ili kujua wanayopitia wenye wagonjwa wasio na bima ya afya na wenye kipato duni jaribu kuwa mazingira yao muda wanaokuwa wanapokea bill kwa ajili ya kuclear malipo.
Inaumiza sana.

Serikali yetu ingejaribu tu kuweka mazingira rafiki na gharama zinazostahimilika kwa watu wa makundi yote.

Kipaumbele cha kwanza kwenye hizo bajeti iwe ni Afya kabla ya mazaga mengine.

Tofauti na hivyo Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda, tuishie kuwa na mafua tu ambayo tunaweza kuyamaliza kwa kushika jembe.
 
Wewe ndie umesema sasa kuna watu wanasema hapa oooh kashindwa hata elfu hamsini ya bima

Yale yale ya aliyeshiba hamjui mwenye njaa kuna watu wanapata hela ya kula tu mlo mmoja buku kwa siku nayo kwa mbinde uje umwambie bima ya 50 elfu?

Msichokijua pia ni kwamba hiyo hamsini utaitoa na kuna vitu bado utanunua

Wazee tusikufuru hawa wenzetu waliokosa mtaani hali mbaya sanaaa tena sanaaa tuwe na hekma
 
Mkuu, siku zote mwenye shibe hamjui mwenye njaa.

Kuna watu waliwahi kushinda na kulala njaa, lakini baada ya neema ya Mungu kuwatembelea hawakumbuki kama mtu anaweza kukosa pesa ya kula, iwe ya bima ya afya!

Hata kwa wale ambao hawakuwahi kuupitia msoto wa maisha tunawakumbusha hili pia.
 
Back
Top Bottom