kwani hana ndugu na kwanini MNABEBA BEBA MIMBA HOVYO WAKATI HAMNA UCHUMI.Nikuulize swali rahisi tu, unajuaje kama yule mama baada ya kubeba ujauzito ule, mumewe alipata ajali na bodaboda akafa?? Sasa kiongozi unapotoa kai kama ile huyo mjane atajisikiaje?? Chungeni kauli zenu Mungu yupo na hadhihakiwi. Usijione mjanja kuwa nacho leo ukamdharau na kumdhihaki asiyenacho leo kwani hujui kesho yako.
Na kama mumewe yupo na anamuhudumia si mjane?Nikuulize swali rahisi tu, unajuaje kama yule mama baada ya kubeba ujauzito ule, mumewe alipata ajali na bodaboda akafa?? Sasa kiongozi unapotoa kai kama ile huyo mjane atajisikiaje?? Chungeni kauli zenu Mungu yupo na hadhihakiwi. Usijione mjanja kuwa nacho leo ukamdharau na kumdhihaki asiyenacho leo kwani hujui kesho yako.
Sasa kama kaambiwa na wahudumu wa afya huko tangu clinic akawa haelewi huyo Chalamila ambaye sio mtaalamu wa afya ndo atampa elimu gani zaidizaidi😁😁😁Elimu ndio kuhusu Mifumo ya Serikali Kwenye Huduma ya Afya ya MAMA NA MTOTO 🐼
Hakuna ukweli hapo. Labda kama na wewe ni jitu la hovyo. Wewe ni mgeni Tanzania? Hujui michezo inachezwa mahospitali? Kuna maana Gani serikali kutangaza kuwa kujifungua ni bure? Ni kweli tumefikia hatua ya kuishiwa gloves? Vp Kuna viongozi hapo? wananchi wamebebeshwa zigo la Kodi na tozo kwa lipi sasa kama hata gloves zinaisha? Nimegundua wewe ni shetani kama yalivyo mashetani mengine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaTatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta siasa..embu shauri ungekuwa wewe ungefanyaje..mgonjwa katibiwa bahati mbaya kafariki, je angekuwa amepona ndugu wasingelipa?? Je akifa inamaanisha hakutumia dawa ??? Au Rais aliwaambia serikali italipa??..
Nadhan RC amewaambia ukweli mchungu ambao inatakiwa tuuzoee..
MAGUFURI aliwai kunukuliwa akiwaambia watu wa kigamboni Kama hawawezi kulipa 200tsh wapige mbizi..Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
Hayupo sasa.Na kama mumewe yupo na anamuhudumia si mjane?
NI WENGI NDIO MAANA VIJANA HAWANA AJIRA NA WENYE AJIRA MISHAHARA MIDOGO!!!Mkuu million 60 unaona wengi
Ni muda sasa tupendi UKWELI😁😁😁MAGUFURI akiwa kunukuliwa akiwaambia watu wa kigamboni Kama hawawezi kulipa 200tsh wapige mbizi
Pia Ali waambia wafanyabiashara wa stendi ya MAGUFURI mbezi kuhusu KULIPIA 500tsh huduma ya choo AKA WAAMBIA WABAKI NA MAVI YAO TUMBONI😅🤣🤣
NB.
Mtu mweusi hapendi kuambiwaga ukweli..sijaona kosa la chalamila tatizo ni moja tu UMASKINI wa kipato wa WATANZANIA majority.
Tatizo la Chalamili bangi zinamwendesha vibayaMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
Kama Bangi ndio inafanya KIONGOZI awe mkweli ni bora kuwe na TANZANIA BANGI DAY.Tatizo la Chalamili bangi zinamwendesha vibaya
Soma nilichoandika acha hisia zako kwenye masuala yanayohusu uhai. Hutaki kuzaa lkn unataka kuajiri watoto wa wenzio.kwani hana ndugu na kwanini MNABEBA BEBA MIMBA HOVYO WAKATI HAMNA UCHUMI.
ALIYEWADANGANYA KUZAA NI SIFA NI NANI???
UZAZI WA HIVYO HATA MAKUZI YA WATOTO NI TIAMAJITIAMAJI NA MWISHOWE MNASHALISHA PANYA ROAD!!!
Yeye hajamwomba chalamila aende kumzalisha uwage unaelewa nikiamini Wewe ni nurse mzuriSasa kama kaambiwa na wahudumu wa afya huko tangu clinic akawa haelewi huyo Chalamila ambaye sio mtaalamu wa afya ndo atampa elimu gani zaidizaidi😁😁😁
Huyo atakuwa KADA mwenzako kapewa za USO.Chalamila kagoma kupokea UMBEA🤝
mimi sio nesi mimi ni mhandisi wa jamii na ni jobless🤗 mimi nadhani nina uwelewa wa juu kukuzidi ndomaana nimakuhoji wewe kwa akili ya kawaida tu.Yeye hajamwomba chalamila aende kumzalisha uwage unaelewa nikiamini Wewe ni nurse mzuri
Wanaccm wote wamepewa Namba za Viongozi Ili kuomba msaada wawapo na dharura
Hii nadhani Chalamila alijisahau na amekiuka kiapo chake Chamani
Haya mambo Wewe huwezi kuelewa ni ya Kichama Dola zaidi 🐼
TATIZO NI CCM WALA SUO CHALAMILAMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.
Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.
==================================================
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
WEWE UNAJIFANYA UNAUJUA UHAI SANA. UNAJUA MPAKA MIMBA INATUNGWA MBEGU ZA KIUME NGAPI ZIMEKUWA SURCRIFISED ILI MOJA TU NDO IKUTANE NA YAI LA KIKE🤗Soma nilichoandika acha hisia zako kwenye masuala yanayohusu uhai. Hutaki kuzaa lkn unataka kuajiri watoto wa wenzio.
Yes, end of the day hao ndio wapiga kura sasa... Kwani ukweli ni kitu ganiUKWELI HUWA HAUNA UTAMU😁😁😁
📌POKEENI UJUMBE MJIPAMBANIE,NO FREE LUNCH IN THIS WOLRD!!!