RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Nikuulize swali rahisi tu, unajuaje kama yule mama baada ya kubeba ujauzito ule, mumewe alipata ajali na bodaboda akafa?? Sasa kiongozi unapotoa kai kama ile huyo mjane atajisikiaje?? Chungeni kauli zenu Mungu yupo na hadhihakiwi. Usijione mjanja kuwa nacho leo ukamdharau na kumdhihaki asiyenacho leo kwani hujui kesho yako.
kwani hana ndugu na kwanini MNABEBA BEBA MIMBA HOVYO WAKATI HAMNA UCHUMI.

ALIYEWADANGANYA KUZAA NI SIFA NI NANI???

UZAZI WA HIVYO HATA MAKUZI YA WATOTO NI TIAMAJITIAMAJI NA MWISHOWE MNASHALISHA PANYA ROAD!!!
 
Na kama mumewe yupo na anamuhudumia si mjane?
 
Elimu ndio kuhusu Mifumo ya Serikali Kwenye Huduma ya Afya ya MAMA NA MTOTO 🐼
Sasa kama kaambiwa na wahudumu wa afya huko tangu clinic akawa haelewi huyo Chalamila ambaye sio mtaalamu wa afya ndo atampa elimu gani zaidizaidi😁😁😁

Huyo atakuwa KADA mwenzako kapewa za USO.Chalamila kagoma kupokea UMBEA🤝
 
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta siasa..embu shauri ungekuwa wewe ungefanyaje..mgonjwa katibiwa bahati mbaya kafariki, je angekuwa amepona ndugu wasingelipa?? Je akifa inamaanisha hakutumia dawa ??? Au Rais aliwaambia serikali italipa??..
Nadhan RC amewaambia ukweli mchungu ambao inatakiwa tuuzoee..
Hakuna ukweli hapo. Labda kama na wewe ni jitu la hovyo. Wewe ni mgeni Tanzania? Hujui michezo inachezwa mahospitali? Kuna maana Gani serikali kutangaza kuwa kujifungua ni bure? Ni kweli tumefikia hatua ya kuishiwa gloves? Vp Kuna viongozi hapo? wananchi wamebebeshwa zigo la Kodi na tozo kwa lipi sasa kama hata gloves zinaisha? Nimegundua wewe ni shetani kama yalivyo mashetani mengine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Alichoongea ndio uhalisia wenyewe ingawa lugha aliyotumia sio rafiki,

Wanasiasa ndio wanavuruga wanainchi, magu aliwahi kusema fyatueni tu huduma ni bure za kujifungua.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

View attachment 3214512
MAGUFURI aliwai kunukuliwa akiwaambia watu wa kigamboni Kama hawawezi kulipa 200tsh wapige mbizi..

Pia Ali waambia wafanyabiashara wa stendi ya MAGUFURI mbezi kuhusu KULIPIA 500tsh huduma ya choo AKA WAAMBIA WABAKI NA MAVI YAO TUMBONI😅🤣🤣 Kama hawana pesa KULIPIA huduma tajwa.

NB.
Mtu mweusi hapendi kuambiwaga ukweli..sijaona kosa la chalamila tatizo ni moja tu UMASKINI wa kipato wa WATANZANIA majority.
 
Mkuu million 60 unaona wengi
NI WENGI NDIO MAANA VIJANA HAWANA AJIRA NA WENYE AJIRA MISHAHARA MIDOGO!!!

NI WENGI NDIO MAANA MPAKA LEO HUDUMA ZA MSINGI KAMA AFYA NA ELIMU SIO BURE KAMA NENO BURE LINAVYOMAANISHA😁😁😁

NA SERIKALI IKIONA KUNAUPUNGUFU ITATENGA MPAKA FEDHA KULIPA WATU WAFYATUE,HAPO SASA NDO UNATAKIWA UJIFYATULIE WATOTO KADIRI YA NGUVU ZAKO ZA KUCHAKATA MBUSUSU!!!!

📌NA KWA TAARIFA YAKO AFRICA,HAIKO SIKU SERIKALI ITATENGA FEDHA KWAAJILI YA KAMPENI YA KUSHAWISHI WATU WAZALIANE😁😁😁🤗🤗🤗
 
MAGUFURI akiwa kunukuliwa akiwaambia watu wa kigamboni Kama hawawezi kulipa 200tsh wapige mbizi

Pia Ali waambia wafanyabiashara wa stendi ya MAGUFURI mbezi kuhusu KULIPIA 500tsh huduma ya choo AKA WAAMBIA WABAKI NA MAVI YAO TUMBONI😅🤣🤣

NB.
Mtu mweusi hapendi kuambiwaga ukweli..sijaona kosa la chalamila tatizo ni moja tu UMASKINI wa kipato wa WATANZANIA majority.
Ni muda sasa tupendi UKWELI😁😁😁
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

View attachment 3214512
Tatizo la Chalamili bangi zinamwendesha vibaya
 
kwani hana ndugu na kwanini MNABEBA BEBA MIMBA HOVYO WAKATI HAMNA UCHUMI.

ALIYEWADANGANYA KUZAA NI SIFA NI NANI???

UZAZI WA HIVYO HATA MAKUZI YA WATOTO NI TIAMAJITIAMAJI NA MWISHOWE MNASHALISHA PANYA ROAD!!!
Soma nilichoandika acha hisia zako kwenye masuala yanayohusu uhai. Hutaki kuzaa lkn unataka kuajiri watoto wa wenzio.
 
Sasa kama kaambiwa na wahudumu wa afya huko tangu clinic akawa haelewi huyo Chalamila ambaye sio mtaalamu wa afya ndo atampa elimu gani zaidizaidi😁😁😁

Huyo atakuwa KADA mwenzako kapewa za USO.Chalamila kagoma kupokea UMBEA🤝
Yeye hajamwomba chalamila aende kumzalisha uwage unaelewa nikiamini Wewe ni nurse mzuri

Wanaccm wote wamepewa Namba za Viongozi Ili kuomba msaada wawapo na dharura

Hii nadhani Chalamila alijisahau na amekiuka kiapo chake Chamani

Haya mambo Wewe huwezi kuelewa ni ya Kichama Dola zaidi 🐼
 
mimi sio nesi mimi ni mhandisi wa jamii na ni jobless🤗 mimi nadhani nina uwelewa wa juu kukuzidi ndomaana nimakuhoji wewe kwa akili ya kawaida tu.

Wewe huna hoja ndugu yangu,wewe umechagua kusifia na kupindisha mambo hata yaliyo wazi. Yote hayo unawaza labda siku utapewa nafasi uwe kiongozi upande vietiiii😁😁😁😁
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

View attachment 3214512
TATIZO NI CCM WALA SUO CHALAMILA
 
Soma nilichoandika acha hisia zako kwenye masuala yanayohusu uhai. Hutaki kuzaa lkn unataka kuajiri watoto wa wenzio.
WEWE UNAJIFANYA UNAUJUA UHAI SANA. UNAJUA MPAKA MIMBA INATUNGWA MBEGU ZA KIUME NGAPI ZIMEKUWA SURCRIFISED ILI MOJA TU NDO IKUTANE NA YAI LA KIKE🤗

📌MY FRIEND KWENYE HII DUNIA " SURVIVAL IS OF THE FITTEST"

#NO BODY GIVES SHIT ABOUT THE WEAK AND THE POORER!!!
 
Huyu alionywa sana ila ana mdomo sana hawezi kujizuia ni hulka yake
 
Back
Top Bottom